strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Nadhan ni mabadiliko tabia nchi wanasemaga hivyo wao.wa siku hizi siyo watamu sijui kwanini?
Nadhan ni mabadiliko tabia nchi wanasemaga hivyo wao.wa siku hizi siyo watamu sijui kwanini?
Umeanza?Mkuu kama wapo sokoni ni pm fasta tuongee biashara
Mkuu nilipata kuhadisiwa na mzee mmoja mwanajeshi ,kwamba Cobra kama akifanikiwa kuingiza kichwa akakibana kwenye ukuta ulio na shimo mnaweza mkamvuta watu 20 mkashindwa kumtoa ,ni kweli ???
Huyo mweupe anavutia sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh teh..Mkuu waweke sebuleni basi
Nashukuru sana kwa ufafanuzi Mkuu , mimi kinyonga pia sitaki mazoea nae na hii nadhani ni kutokana na vitisho tulivyokua tunapewa tukiwa wadogo kwamba kinyonga sijui akiingia kichwani kwenye nywele hatoki mpaka uwe na ugoro ,Nyoka siwaogopi na kinacho nivutia zaidi ni tactics zao wanapo winda ......kuna membranes chini ya macho ambazo zinamsaidia ku detect preys body heat ambayo ina pinpoint its target with precision, preparing for strike ......hawa jamaa wako clearly engineered to killHizo sio story nimewahi kushuhudia mara nyingi hilo zoezi likitokea. Ukimkamata inabidi uwe unalegeza kumvuta kidogo ili a relax na kutaka kuendelea na safari ya kuingia ndani unamvuta kidogo kidogo hadi utakapomtoa, ila ukishikilia moja kwa moja, utakata kichwa kibaki kwenye shimo na wewe kuondoka na kiwiliwili.
Mimi naogopa sana kinyonga, siwezi kuhangaika nae sana lakini nyoka nawamudu.
ulimi pia unamsaidia kuwinda. kwenye ulimi kuna receptors ambazo hutambua kemikali kutoka kwa wanyama. ulimi umegawanyika ili kutambua hizo kemikali zinakotokea. i hate snakes.Nashukuru sana kwa ufafanuzi Mkuu , mimi kinyonga pia sitaki mazoea nae na hii nadhani ni kutokana na vitisho tulivyokua tunapewa tukiwa wadogo kwamba kinyonga sijui akiingia kichwani kwenye nywele hatoki mpaka uwe na ugoro ,Nyoka siwaogopi na kinacho nivutia zaidi ni tactics zao wanapo winda ......kuna membranes chini ya macho ambazo zinamsaidia ku detect preys body heat ambayo ina pinpoint its target with precision, preparing for strike ......hawa jamaa wako clearly engineered to kill