Mkuu nilipata kuhadisiwa na mzee mmoja mwanajeshi ,kwamba Cobra kama akifanikiwa kuingiza kichwa akakibana kwenye ukuta ulio na shimo mnaweza mkamvuta watu 20 mkashindwa kumtoa ,ni kweli ???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.