Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,033
- 15,581
Wakati wa vita wanaume wote front line, sio wana usalama peke yao.
Kama wewe ni mwanaume mwenye umri usiozidi miaka 50 liweke hilo akilini.
Mbaya zaidi huwa wanatuma wanajeshi wasio na uzoefu huko front line, wale ma pro wanatumiwa kwenye strategic areas kwakua sio wengi kivile.

hivi ushawahi kusikia askari wa jeshi lolote amegoma eti mshahara hautoshi? Ukizingatia hawa askari wetu mishahara wanayopewa ni midogo sana haiendani na uhalisia wa maisha yao kabisa