Wanausalama ni watu muhimu sana

Wanausalama ni watu muhimu sana

Namshukuru Mungu pekee ambae sio mnafiki na wala hachoki kukupenda na mpenda haki, mangapi tunaripoti na hayachukuliwi hatua tena mengine ni hatari kwa taifa letu tuliloapa kulilinda kwa gharama yeyote ile
Ungefahamu mengi ungewashukuru wachapakazi hawa.
 
Hata mimi ni mkulimwa wa Nyanya ntole kiongozi ila kungekua hakuna usalama sidhani kama kulima na kuuza nyanya zetu na kujipatia kipato vingewezekana
Na weye usingelima hizo bisho-ntongo na matoke(aina zote za vyakula) hao wanausalama wangekula mchanga ili walinde vizuri?Kila mmoja ana umuhimu wake.Specialization of labour!
 
Tatizo tunachukulia vitu easy sana. Ukiona usalama wa taifa hawafanyi kazi wewe jaribu ku sabotage usalama wa nchi. Hutoamini. Wana juhudi kubwa tu. Tena sana. Hongera kwao
 
Yani watu wanavyojiona wana amani wanadhani ni kwa bahati mbaya kuna watu wapo nyuma ya wao kuishi kwa amani, kuna watu wanalala macho wazi kuhakikisha hiyo amani inaendelea kuwapo
 
UnajuA Thread Imeanzishwa Na Mtu Ambaye Anatoka Mkoa Gani
Nakwambia Huyo Hutamshinda Anatoka Mwandiga Kigoma

Sipo hapa kushinda mutama, mwidiwe, naongelea uhalisia kaka yangu
Mwandiga, Nyarubanda, Bitale, Uvinza, kote huko
 
Jamaa wanatumika kuiba kura kwenye uchaguzi. Ndio maana Mpaka leo tumeshindwa kutoa ccm madarakani na ndio maana hatuna uongozi bora na ndio maana hatuendelei. Kama wanausalama wangekuwa waaminifu wasingekubali kutumika kuiba kura. Wanatusaliti sana sisi waTanzania.

2025 wanausalama msitumike kuiba kura.
 
Ndio wanausalama ni watu muhimu sana hapa nikimaanisha majeshi yote kwa nchi yetu mfano JWTZ, jeshi la
Polisi, Usalama wa Taifa...nk

Hawa watu wanahitaji sana maombi yetu na upendo wetu wakienenda katika yaliyo haki i mean kulinda mipaka ya nchi, rasilimali za nchi pamoja na sisi raia.

Ndio ogopa sana mtu aliyekula kiapo cha kufa kwa ajili ya kukulinda wewe na nchi yako, hebu fikiri wakati wewe umejficha ndani ya bomb shelter/bunkers hawa jamaa watakua frontline wakikabiliana na adui uso kwa uso.

Bila kujali adui ana silaha gani za kisasa ila tambu hawa wana usalama wetu ndio watakua wanapambana nao, chukulia mfano vita ya Kagera wanausalama wetu walijitoa kwa ari na mali kuipambania nchi yetu.

Heshimu sana mtu wakati wewe umelala fofofo yeye yupo macho na silaha nzito mkononi kuhakikisha unalala salama bila usumbufu wowote akipigwa na baridi kali hata kama kuna barafu

Mfano naangalia pale Ukraine wakati huu kuna barafu kali na baridi ila wanajeshi wa Ukraine bado wanapambana kwa ajili ya nchi yao wote wakike nawa kiume.

Nao kama binadamu wana mapungufu yao ila wanayoyafanya ni makubwa sana bado wanahitaji Upendo na sala zetu kwa wingi.

Ndio heshima ziende kwa vyombo vyote vya ulinzi vinavyohakikisha nchi yetu ipo safi mpaka leo natambua sio kwamba nchi yetu haina maadui ila kwa weledi wenu mnawatambua mapema na kudili nao mapema.

#Hongereni sana

Ni mimi mpenda amani na raia mwema....
Usiwape sifa bure hawa wanausalama wa kibongo maana mpaka leo kuna jamii inaliia na vifo vya wapendwa wao ambavyo mpaka leo havijajulikana nini chaanzo chao, wakati kuna hicho unachokidai usalama
 
Daktari anakula kiapo cha kutunza siri za wagonjwa na sio kutoa uhai wake kwa ajili ya wagonjwa.

Umeona wale wameguswa kidogo tu Mirembe wameanza kulalamika je ukimpeleka frontline kwenye vita si ndio atakimbia kabisa
Kuna vita wapi?
 
Furaha Yao sio pesa .
Furaha Yao ni utekelezaji.
Mnapata Viburi vya kutukana humu Kwa sababu Nchi yetu ni Salama, wapo wanaume kule wanafanya kazi yao Kwa weledi.
Sahihi, lakin siyo kama mtoa mada anavyosema kuwa wana silaha nzito
 
Kila mtu ni muhimu kwa nafasi yake,hao wanaolinda mipaka wanalinda bure(bila malipo)?
Msikie huyu nae!hivi ushawahi kusikia askari wa jeshi lolote amegoma eti mshahara hautoshi? Ukizingatia hawa askari wetu mishahara wanayopewa ni midogo sana haiendani na uhalisia wa maisha yao kabisa
Kwa upande wa madaktari kila kukicha wanagoma wakidai waongezewe mishahara na posho!
Just imagine tu siku moja majeshi yetu yagome sasa wanataka mishahara mikubwa na waamue tu kuacha mipaka ikiwa wazi bila ulinzi na uhalifu uendelee sidhani kama hata jua litazama siku hiyo
Angalia jinsi askari wa Ukraine wanavyopambania nchi yao
 
Asiyetambua umuhimu wa hivi vyombo akachekiwe akili, taaluma zote zinafanya kazi zao kwa sababu usalama upo kinyume na hapo dokta, nesi, mwalimu, engineer wote utawakuta uvunguni watakaokuwa front ni vyombo vya usalama.

Busara ni kukaa kimya sio kila kitu lazima uwe roporopo mradi uonekane nawe upo kumbe popoma.
 
Daktari anakula kiapo cha kutunza siri za wagonjwa na sio kutoa uhai wake kwa ajili ya wagonjwa.

Umeona wale wameguswa kidogo tu Mirembe wameanza kulalamika je ukimpeleka frontline kwenye vita si ndio atakimbia kabisa
Kila mtu na taaluma yake...hao askari wanasomea ni wabobezi katika nyanja hiyo, wanajua namna ya kusurvive hata kwenye vita, hiyo mizinga kabla ya kwenda vitani wanajifunza na kuzoea.

Wewe unafikiri nchi zinasomesha maaskari iki wakafie vitani..hapana..wanafunndishwa miaka nenda rudi, wanafanya mazoezi ili wasife, wasurvive....Hivyo ni profession kama profession nyingine..kufa ni ajali kazini..

Askari unapaswa kusurvive vitani na sio kufa....
 
Ndio wanausalama ni watu muhimu sana hapa nikimaanisha majeshi yote kwa nchi yetu mfano JWTZ, jeshi la
Polisi, Usalama wa Taifa...nk

Hawa watu wanahitaji sana maombi yetu na upendo wetu wakienenda katika yaliyo haki i mean kulinda mipaka ya nchi, rasilimali za nchi pamoja na sisi raia.

Ndio ogopa sana mtu aliyekula kiapo cha kufa kwa ajili ya kukulinda wewe na nchi yako, hebu fikiri wakati wewe umejficha ndani ya bomb shelter/bunkers hawa jamaa watakua frontline wakikabiliana na adui uso kwa uso.

Bila kujali adui ana silaha gani za kisasa ila tambu hawa wana usalama wetu ndio watakua wanapambana nao, chukulia mfano vita ya Kagera wanausalama wetu walijitoa kwa ari na mali kuipambania nchi yetu.

Heshimu sana mtu wakati wewe umelala fofofo yeye yupo macho na silaha nzito mkononi kuhakikisha unalala salama bila usumbufu wowote akipigwa na baridi kali hata kama kuna barafu

Mfano naangalia pale Ukraine wakati huu kuna barafu kali na baridi ila wanajeshi wa Ukraine bado wanapambana kwa ajili ya nchi yao wote wakike nawa kiume.

Nao kama binadamu wana mapungufu yao ila wanayoyafanya ni makubwa sana bado wanahitaji Upendo na sala zetu kwa wingi.

Ndio heshima ziende kwa vyombo vyote vya ulinzi vinavyohakikisha nchi yetu ipo safi mpaka leo natambua sio kwamba nchi yetu haina maadui ila kwa weledi wenu mnawatambua mapema na kudili nao mapema.

#Hongereni sana

Ni mimi mpenda amani na raia
Ndio wanausalama ni watu muhimu sana hapa nikimaanisha majeshi yote kwa nchi yetu mfano JWTZ, jeshi la
Polisi, Usalama wa Taifa...nk

Hawa watu wanahitaji sana maombi yetu na upendo wetu wakienenda katika yaliyo haki i mean kulinda mipaka ya nchi, rasilimali za nchi pamoja na sisi raia.

Ndio ogopa sana mtu aliyekula kiapo cha kufa kwa ajili ya kukulinda wewe na nchi yako, hebu fikiri wakati wewe umejficha ndani ya bomb shelter/bunkers hawa jamaa watakua frontline wakikabiliana na adui uso kwa uso.

Bila kujali adui ana silaha gani za kisasa ila tambu hawa wana usalama wetu ndio watakua wanapambana nao, chukulia mfano vita ya Kagera wanausalama wetu walijitoa kwa ari na mali kuipambania nchi yetu.

Heshimu sana mtu wakati wewe umelala fofofo yeye yupo macho na silaha nzito mkononi kuhakikisha unalala salama bila usumbufu wowote akipigwa na baridi kali hata kama kuna barafu

Mfano naangalia pale Ukraine wakati huu kuna barafu kali na baridi ila wanajeshi wa Ukraine bado wanapambana kwa ajili ya nchi yao wote wakike nawa kiume.

Nao kama binadamu wana mapungufu yao ila wanayoyafanya ni makubwa sana bado wanahitaji Upendo na sala zetu kwa wingi.

Ndio heshima ziende kwa vyombo vyote vya ulinzi vinavyohakikisha nchi yetu ipo safi mpaka leo natambua sio kwamba nchi yetu haina maadui ila kwa weledi wenu mnawatambua mapema na kudili nao mapema.

#Hongereni sana

Ni mimi mpenda amani na raia mwema....

Tatizo tunachukulia vitu easy sana. Ukiona usalama wa taifa hawafanyi kazi wewe jaribu ku sabotage usalama wa nchi. Hutoamini. Wana juhudi kubwa tu. Tena sana. Hongera kwao
Nimependa sana maelezo yako, nimekuelewa vyema mwandishi.
Na kwa wale wote wasioona uwajibikaji wa hawa watu katika taifa letu, basi wajiridhishe Kwa kufanya yale wanayodhani hawa watu wanayafumbia macho na hawayatekelezi alafu baada ya siku moja watuletee mrejesho kuwa hawa watu wapo kazini kweli au laa!!

TUSILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
TUTANGULIZE UZALENDO MBELE.

Watanzania wenzangu hebu tutoe matongo tongo machoni mwetu Ili tuweze kuyaona mazuri ndani ya nchi yetu na kuya furahia pia tuwaombee Sana wanausalama wetu bila kuchoka maana hawalali usiku na mchana Kwa ajiri yetu na taifa letu Kwa ujumla🙏
 
Mtu anavyolala usiku anakoroma anajua huko nje mambo yanajiendesha. Mipaka imekaa na maadui wanatafuta upenyo wafanye wanayotaka kufanya ila watu hawalali wanawalinda. Uzalendo ni kazi
 
Hiv wanaolinda mipaka ni sawa na wanao takiwa kuzuia rushwa na ufisadi kwenye nchi?
 
Rushwa unaizuia wewe mwananchi unaetoa na kuipokea. Tatizo linaanzia chini. Tunaruhusu. Sasa ukitaka wanajeshi waingie maofisini kuchungulia wanaotoa na kupokea rushwa si mnatafuta utawala wa aina nyingine.
 
Ndio wanausalama ni watu muhimu sana hapa nikimaanisha majeshi yote kwa nchi yetu mfano JWTZ, jeshi la
Polisi, Usalama wa Taifa...nk

Hawa watu wanahitaji sana maombi yetu na upendo wetu wakienenda katika yaliyo haki i mean kulinda mipaka ya nchi, rasilimali za nchi pamoja na sisi raia.

Ndio ogopa sana mtu aliyekula kiapo cha kufa kwa ajili ya kukulinda wewe na nchi yako, hebu fikiri wakati wewe umejficha ndani ya bomb shelter/bunkers hawa jamaa watakua frontline wakikabiliana na adui uso kwa uso.

Bila kujali adui ana silaha gani za kisasa ila tambu hawa wana usalama wetu ndio watakua wanapambana nao, chukulia mfano vita ya Kagera wanausalama wetu walijitoa kwa ari na mali kuipambania nchi yetu.

Heshimu sana mtu wakati wewe umelala fofofo yeye yupo macho na silaha nzito mkononi kuhakikisha unalala salama bila usumbufu wowote akipigwa na baridi kali hata kama kuna barafu

Mfano naangalia pale Ukraine wakati huu kuna barafu kali na baridi ila wanajeshi wa Ukraine bado wanapambana kwa ajili ya nchi yao wote wakike nawa kiume.

Nao kama binadamu wana mapungufu yao ila wanayoyafanya ni makubwa sana bado wanahitaji Upendo na sala zetu kwa wingi.

Ndio heshima ziende kwa vyombo vyote vya ulinzi vinavyohakikisha nchi yetu ipo safi mpaka leo natambua sio kwamba nchi yetu haina maadui ila kwa weledi wenu mnawatambua mapema na kudili nao mapema.

#Hongereni sana

Ni mimi mpenda amani na raia mwema....
Hujui vita wewe.fuatilia nini maana ya jeshi la akiba,uliza vijana Kule Ukraine na Russia utaelewa ikitokea vita hata wewe utaenda vitani.
 
Back
Top Bottom