Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Huyo mwanaume wa dar sishangai
Kiporo kitamu wewe asikwambie mtunikopeshe walau kwa week 1 shost!ntamrudisha
Amen ubarikiwe sana.mh! Huyo binamu yako mshawishi "mie nije huko nimpe faraja" upweke sio dili
Uko wapi na ww ?hhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !
apambane na hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
nikopeshe walau kwa week 1 shost!ntamrudisha

Wanawake kuwatesa na kuwanyanyasa hufanywa tu kwa kiburi aliyozaliwa nayo mwanaume, lakini mwanamke anapoondoka nyumbani huwa tunajutia mengi. Baba yetu mama akiwa nyumbani kama vile haoni thamani yake lakini akisafiri au hata anaumwa anavyokosa amani hadi unamuonea huruma. Atakuuliza mama yako alisema anarudi lini vile au umempigia simu atakuja lini?
Wanaume huwa tunajiona wenye nguvu na wenye maamuzi ya mwisho but kukosa mwanamke hasa mke karibu yako unakosa mengi sana.
I think tunawahitaji sana, tujitahidi kuwaheshimu na kuona na kutambua umuhimu wao katika maisha yetu.
Ila pia siyo wanawake wote ni kuwavumilia.
NB: mwanamke mwema ni wa muhimu sana katika maisha ya mwanaume.
Uko wapi na ww ?
Taasisi ya NDOA ni taasisi complex sana!
Tumuombe Mungu atuvushe salamani kweli kaka
amenTumuombe Mungu atuvushe salama
Tumtegemee "yeye"amen
'atatenda'Tumtegemee "yeye"
Wewe ndie binamu yake Kasie unayehitaji faraja? kama ni wewe basi usipate shida nitakufariji hadi uichukie faraja. welcomeAmen ubarikiwe sana.
Hahhahaha ila huna haja ya kwenda mbali kisa tu unakomoa. Try to find a way aone bila wewe, yeye aatakosa mengi ya umuhimu.umeongea vyema !umenibariki kwakweli !wanaume mnanikwaza kitu kimoja!
mnaish na wake zenu km unaish na mshkaj ghetto!yaan huguswi a hisia zake ht siku 1 mpo mpo tu!dawa yenu ni kutafuta safari even for a month! ni kwel si kila mwanamke wa kumvmilia !likewise kwa wanaume pia