Hany
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 432
- 257
Huwa nachukizwa na wanaume wa aina hii kwakweli ! Hivi unadhani bila mkeo hao watoto ungewapata ? Au wangejizaa wenyewe ? Wanaume mnamanyanyaso sana kwa wake zenu , na kwa taarifa yenu wake zenu wanawavumiliga tu kwasababu ya watoto , na kwa matendo yenu huwa wanakuwa wamewaisha wachoka kitambo na kuwatoa moyoni.. hata hiyo talaka unayojivunia itamfata huko wala haimkomoi bali unakomoa watoto.Naaammm....tuko tofauti bibie.....binamuyo atakuwa yai la kisasa.....mie namuongezea na nauli....chaaaaa.....na talaka itamfuata huko huko.....maisha yenyewe mafupiii.....ila kwenye watoto hapo ndo shughuli.....lazima kuwepo mjadala.....