Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

Mimi nakubali kuwa muhanga wa hili jambo...nimeshajiona siwezi kuishi na mwanamke mwingine kila nikijaribu inashindikana. Nadhani sababu nina mtoto naona nmeshamaliza
 
Weee ondoka tu kwani nina shida na wewe...
Ukiondoka ndani ya nusu saa
Unaanza kupokea sms
Baby am sorry
Njoo tuongee
Mi siwezi kuishi mwenyewe
Ukitangulia kufa na mimi najiua
Maisha yangu bila wewe ni sawa na bure

Mashairi unaweza kutungia wimbo kabisa
 
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....

Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.

Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?

Sijui mnaenielwa....!!!?

Kasie Kasiba.
huwaga mnaturoga....
 
Huyo jamaa ni Mkristo maana sisi waislam hatubabaishwi na mwanamke kuondoka.
 
hahhaha nna kalikizo ka week2 acha nikatendee haki kwakwel!hapa ntapaa kwenda dar,nimetoka Ir,nikaja Ifakara,namalizia dar bbyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy ! ikiwezekana niend na mwanza kbs !nikrUd ni PASAKA !ndo muone uwepo wetu tukiwa na nyinyi!tusichukliane poa !lol
Karibu Ifakara tuonane basi
kama hautojali
 
u never know what u have till u've lost it!
 
huyo atakuwa mvulana aisee, tunaumia sio kwa kukaa na kuanza kulia huo ni ukhanithi
Daaah, inawezekana UMRI ndo umekusukuma unene hayo; Unamkumbuka mtoto wa Dandu, Juma Nature na Sinta? Muulize Afande Sele, Barnaba Boy....n.k

"Umeondoka umeniacha na mawazo mwenzioooo
Umeondoka umeniafanya kila nionapo picha zako ni kiliooo
Hayanilizi mapenzi, kinachoniliza mimi mazoeaaaa
Nilikupenda kwa dhati ndio mana hadi nguo tulisheaa"

Alipoondoka Mama Tunda!

Wazee wengi waliozeeka na wake zao, ikitokea mke akatangulia mbele za haki, mume hatadumu! Vice versa is true.
 
kwamba umri mdogo ama?
 
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....

Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.

Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?

Sijui mnaenielwa....!!!?

Kasie Kasiba.
You know you miss it when it's gone!
 
Shida ni kulala ni kitanda kimoja!
Katika maisha jijengee kulala vitanda tofauti na mkeo itakusaidia mbeleni.
Hii kulala kitanda kimoja umekumbatia tu huku vidole vyake kakuwekea mdomoni hadi unyonye ndo ulale!siku akisepa utakonda km panya mwenye tb!
Mke vitanda tofauti.
Watoto chumba chao.
Hata wakiondoka unaweza kusavaivu kisela muda mrefu hadi akirudi
 
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....

Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.

Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?

Sijui mnaenielwa....!!!?

@Kasie Naam, ujue kwanza swala la mwanaumke kuondoka linakuwa lina mambo mengi huenda umeondoka baada ya kuwa sitekelezi kile ambacho ulikuwa unahitaji na umechukizwa sana na tabia zangu flan, mfano nakulazimisha nikuingie kinyume na ww hutaki umechukia unaondoka ila mimi mwanaume nafanya kwakuwa ni moja ya masharti sina jinsi, mke akiondoka lazima ntaumia, mwanamke anawez akaondoka baada ya kugundua ninmegundua siri zake za ndani ambazo hakutaka nizifahamu nikakaisirika sana na nikamtaka aondoke.

Kila mwanaume anapoona mke wake anaondoka na huku alikuwa anampenda sana lazima kimuume, wanawake huchukua fursa ya kuringa pale anapoona mwanaume anamuonyesha upendo, sasa hutokea humuomba kitu cha thamani amabacho ha na hawezi basi huwa anasikitika sana mke akiondoka.

Kasie Kasiba.
 
Naaammm....tuko tofauti bibie.....binamuyo atakuwa yai la kisasa.....mie namuongezea na nauli....chaaaaa.....na talaka itamfuata huko huko.....maisha yenyewe mafupiii.....ila kwenye watoto hapo ndo shughuli.....lazima kuwepo mjadala.....
 
Naam Kasie,
Inawezekana sana mwanaume akashindwa kujiongoza pindi mke akiondoka. Humu mitandaoni huwa watu watabisha na kusema "huyo ni mvulana", "mwanaume suruali", lakini mara nyingi divorces zinaleta matatizo na kuyumba kwa watalaka na hatimaye wengine huishia kutumia mihadarati na pombe.

Vijana hawawezi kuelewa coz bado hawajui maana ya mke ndani ya nyumba.
Haswaaaaaa ni mwanaume suruali, wavulana,na wale wanaume baadhi, waliotokana na malezi mabovu na makuzi mabovu tu ,ndio Hawajui thamani ya mke.
 
hhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !

apambane nna hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
Wapi hiyo shoooo ninakaribia miezi miwili sasa sipo home baaasi nikwambie natongozwa upya pya nachumbiwa mwenzio simu zisizo na idadi hahahaha za i miss you baby girl leo nimekuwa baby!!! Shutuuuu

Namalizia kumuoshea mtu vyombo kwaheri
 
Back
Top Bottom