wanaume

duuhh..kweli duniani wawiliwawili...huyo basha wako kama mie vileeee..photocopyyy...MIE NAPENDA ILA KWAKWELI KUJALI WALA SIJUI....NAONA KAMA NAJILAZIMISHA KUIGIZA VIJITABIA AMBAVYO SINA..

mara ohh maua mara ohooo dinner mara sijui hepibesidei....hayo mie siyawezi bana....NAKUPENDA NIAMINI KAMA HUAMINI SHAURI YAKO mie siwezi kukudanganyadanganya kama mtoto mdogo.
sasa atajuaje unampenda kama hata humuonyeshi upendo? kutakua na tofauti gani kati yako na mtu wa barabarani?
 
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........

naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya upendo. Mfano hasemi nakupenda hata cku moja, hana caring yani kukudekeza kdg ujisikie raha, anaongea kwa mkatomkato nk. cha kushangaza unapoamua kutaka kuachana nae analalamika,

Mtu hakwambii kuwa anakupenda (anashindwa kuonyesha upendo kwa mdomo), hana caring yeyote (anashindwa kuonyesha upendo kwa vitendo), sasa upendo wake uko wapi hapo? Siyo kupotezeana muda huko? Naona ni bora uanze taratibuuuuu, kama kweli anakupenda ataanza kukufuatilia upya ....
 
duuhh..kweli duniani wawiliwawili...huyo basha wako kama mie vileeee..photocopyyy...MIE NAPENDA ILA KWAKWELI KUJALI WALA SIJUI....NAONA KAMA NAJILAZIMISHA KUIGIZA VIJITABIA AMBAVYO SINA..

mara ohh maua mara ohooo dinner mara sijui hepibesidei....hayo mie siyawezi bana....NAKUPENDA NIAMINI KAMA HUAMINI SHAURI YAKO mie siwezi kukudanganyadanganya kama mtoto mdogo.
kwenye red hapo,mmmmhhh ,rekebisha hapo mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom