Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,537
- 20,373
Natamani sana niweze hii ila naona naelelea kushindwa.Lesso siwezi sahau nikikosa lesso natembea na tishu zile za rangi ngumu
Kwanza atuelekeze simu yake aina gani hiyoUtakuja kulia nyau siku moja. utaibiwa au kupoteza simu, Alafu utakua umepoteza na vitu vingine kibao.
KabisaWallet hata mimi ilinishinda, huku uswahilini wallet ni kuwatega wezi tu.
Hapo sawWallet imekuwa mapambo. Kama kuvaa saa.
Ahahh umeamua kututukana π€Ndugu zangu hela mnaweka kwenye Matiti nini? kama wauza chapati.
Zihifadhi sehemu ya wazi utosahauNa
Natamani sana niweze hii ila naona naelelea kushindwa.
Kwa wiki naeza Faulu siku 0 - 3, Kutembea na lesso, Nikikwama njian na sina lesso, najikuta nanunua mpya.
angalia hapaAhahah hii ngeni naisikia kwako mbona
π amna.. nimeuliza tu..Ahahh umeamua kututukana π€
Kumbe hatariangalia hapaView attachment 3325430
Poa tu ππ amna.. nimeuliza tu..
Huyo tajiri kidonda πTajiri anafeli πΉπ€£π€£
Habari ndo hiyoπAseeh ni htree kamatia toto la kikinga Hilo π
Ewaaah π πHabari ndo hiyoπ
πͺEwaaah π π
π π Nilisahau, nina mwanangu wallet yake haikosi kondom aiseeNa kondomu ipo kwenye wallet π
Acha tu, mi hapana kwakweli. Wallet ikianguka inaondoka na vitu vingi ujueπΉπΉπΉ Mwisho wajikate bure na topaz
1. Pesa inawekwa kwenye simu siku hiziKuna watu bado wanabeba wallet zama hizi?