Wanaume

Hela zikikaa zenyewee Kwenye mfuko inatoshaa sana,mambo yakubeba mizigo mfuko wa nyuma tako Moja lionekane limevimba yamepitwa na wkt sanaaaa maselaa wenzangu...
 
Nikitembea na laki basi ,nimeweka hata mifuko mitatu tofauti....Nakaa na pesa ndani hata milion 10 ila naziweka tofauti.
Mh unakaaje na pesa nyingi ivyo tena ndani?
 
Hela zikikaa zenyewee Kwenye mfuko inatoshaa sana,mambo yakubeba mizigo mfuko wa nyuma tako Moja lionekane limevimba yamepitwa na wkt sanaaaa maselaa wenzangu...
Unaonekana una kishundu upande 🤣
 
Binafsi Wellet ilinishinda,naishika kuiweka kwenye gari tu,kwaajili ya kuhifadhi cards

Nikikaa sana kwenye kiti naumia makalio nq mgongo nikienda kanisani au kufanya manunuzi bora niweke mfuko wa mbele na inakuwa slim sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…