Wanaume wotee sawa tu

Wanaume wotee sawa tu

Mm naamini kwamba kila mwanamke maishani lazima ukutane na mwanaume sahihi kwake kwa kilakitu tatizo wadada wengi wanafanya mambo kwa kukalili sisi wanaume tunabadilika kutokana na vipindi tulivyo navyo.....

Dada mwenye miaka 22-25 anaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume miaka 40 mtu ambae kwa kiasi kikubwa kajijenga kiuchumi ana mambo yake mengi mazuri na anafamilia yake

Sasa huyu dada ikifika kipindi anataka kuolewa hawezi kuolewa na yule mwanaume kwasababu tayari anafamilia na huyu dada itabidi atafute was kwake ambaye kwa makadirio atakua na umri wa miaka 28+ ........

Sasa mahusiano yakianza huyu mwanamke anataka ahudumiwe kama alivyo kua akihudumiwa na yule mpenzi wake wa awali kitu ambacho huyu wa miaka 28 hajazoea kwanza bado hata kiuchumi hajajijenga ippasavyo japo ni kweli anampenda mwanamke lkn anahitaji muda zaidi ili ajennge kwanza maisha

Hapo ndipo wanawake mnafeli msipende kulinganisha japo sio wote
Watasoma huu ujumbe ila hawataelewa.
Hata wakiuelewa watazifunga akili na uelewa wao.
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Tatizo ubinafsi umewajaa.....
Nature ya mwanaume si kwa ajiri ya mwanamke mmoja tu!
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Tupo Mama Wanaume Wote Tunajua Kupenda
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Bwana weee hata nyie mnacheat Sana tuuu
 
Bwana weee hata nyie mnacheat Sana tuuu
Sisi had tu cheat huwa tu naona nyie hamna uelekeo assume mtu yuko serious ila wewe ilikuwa wacheza na feelings za mwenzako
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Yeah tunaojua kupenda tupo bt inategemea na unaempenda
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Sidhani kama upo sahihi kwa hilo, wenye mapenzi ya dhati wapo bt inategemea na wewe unavyo react
 
Fallacy of generalization

Ukumbuke ukisema wanaume wote na baba yako pia yumo

Tatizo huwa mnawaacha wale wanaowapenda kwa dhati mnawafuata wale good looking ambaye huyo anakuwa na wengi wanaomtaka kwa hiyo hicho kilio lazima kikukute

Pole sana
Exactly, na hicho ndicho kinachowasumbua
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Stress zikiisha genye zikipanda lazima utaitaji mkuyenge wa kukuna na huwezi pata popote ni kwa mwanaume tu
 
Back
Top Bottom