Wanaume wotee sawa tu

Wanaume wotee sawa tu

Kazi unayo ukiona hivyo hulipi huenda kazi zako tabia zako, wanaume tunataka mtu mpole asiyehangaika sio leo Upo huku kule huna mwelekeo umetumika kama tambara la deki la gesti za tandale mtogole, tunatathimini wa ujana wako mlishindwana nini sasa umezeeka uje uvutwe na vijana na wao hawakutaki kila utakaye mtumia picha hakutaki, tafuta pesa halafu nunua midoli ujisugue
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Kwahiyo unataka wakike?
 
Asanteee
Kazi unayo ukiona hivyo hulipi huenda kazi zako tabia zako, wanaume tunataka mtu mpole asiyehangaika sio leo Upo huku kule huna mwelekeo umetumika kama tambara la deki la gesti za tandale mtogole, tunatathimini wa ujana wako mlishindwana nini sasa umezeeka uje uvutwe na vijana na wao hawakutaki kila utakaye mtumia picha hakutaki, tafuta pesa halafu nunua midoli ujisugue
 
Pole mammie hawa viumbe basi tuu
IMG_20181022_133740.jpeg
 
Umeachika bila sababu ama imekuaje? Hebu jazia jazia nyama hii habari. Ila Pole sana binti.
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
I doubt your thinking capacity and sanity of your mind!

Kuna haja gani ya kutuita mbwa just because some random guy smashed and left you?

Nmekutana na wanawake wengi vilaza na wasiojielewa but haifanyi nigeneralize kwamba wanawake wote hawajielewi.

If you really have a tiny bit of civilization within you, edit your post please. It's too offensive!
 
Back
Top Bottom