fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 758
we mpotoshe tu mwenzio baba ni baba kaka ni kaka na mume ni mune kamwe hawawezi fanana wala linganishwa kwa namna yeyote na uwezi nidanganya hata kwa punje et huwezi penda mwingine sababu flani halikuumiza love is driven involuntaryPole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
