Wanaume wotee sawa tu

Wanaume wotee sawa tu

Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli

Ukitulia tu Genye hazitokuacha Salama , utajikuta unakipeleka tena😁
 
Naomba uniongeze kwenye list
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
 
Duuh hata Mimi nizaidi ya dog! Not fair.
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee

Cariha nitake samahani...mimi sio dog aisee
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Tamaa zimekuponza, shida yenu mnapenda pesa zao afu mnajidai mnawapenda ukistukiwa unaliwa na kutupwa huko dustbin..
 
Ulinikataa kipindi kile sikuwa na A wala B.
Njoo tuendelee zetu bado nakuitaji.

Pole sana. Ila usiape kutopenda tena.
 
Mm naamini kwamba kila mwanamke maishani lazima ukutane na mwanaume sahihi kwake kwa kilakitu tatizo wadada wengi wanafanya mambo kwa kukalili sisi wanaume tunabadilika kutokana na vipindi tulivyo navyo.....

Dada mwenye miaka 22-25 anaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume miaka 40 mtu ambae kwa kiasi kikubwa kajijenga kiuchumi ana mambo yake mengi mazuri na anafamilia yake

Sasa huyu dada ikifika kipindi anataka kuolewa hawezi kuolewa na yule mwanaume kwasababu tayari anafamilia na huyu dada itabidi atafute was kwake ambaye kwa makadirio atakua na umri wa miaka 28+ ........

Sasa mahusiano yakianza huyu mwanamke anataka ahudumiwe kama alivyo kua akihudumiwa na yule mpenzi wake wa awali kitu ambacho huyu wa miaka 28 hajazoea kwanza bado hata kiuchumi hajajijenga ippasavyo japo ni kweli anampenda mwanamke lkn anahitaji muda zaidi ili ajennge kwanza maisha

Hapo ndipo wanawake mnafeli msipende kulinganisha japo sio wote
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Try me love
 
Mm naamini kwamba kila mwanamke maishani lazima ukutane na mwanaume sahihi kwake kwa kilakitu tatizo wadada wengi wanafanya mambo kwa kukalili sisi wanaume tunabadilika kutokana na vipindi tulivyo navyo.....

Dada mwenye miaka 22-25 anaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume miaka 40 mtu ambae kwa kiasi kikubwa kajijenga kiuchumi ana mambo yake mengi mazuri na anafamilia yake

Sasa huyu dada ikifika kipindi anataka kuolewa hawezi kuolewa na yule mwanaume kwasababu tayari anafamilia na huyu dada itabidi atafute was kwake ambaye kwa makadirio atakua na umri wa miaka 28+ ........

Sasa mahusiano yakianza huyu mwanamke anataka ahudumiwe kama alivyo kua akihudumiwa na yule mpenzi wake wa awali kitu ambacho huyu wa miaka 28 hajazoea kwanza bado hata kiuchumi hajajijenga ippasavyo japo ni kweli anampenda mwanamke lkn anahitaji muda zaidi ili ajennge kwanza maisha

Hapo ndipo wanawake mnafeli msipende kulinganisha japo sio wote

Huu ni utafiti wa wapi mkuu?
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
wanaume wote hatuko ivo
 
Back
Top Bottom