Wanaume wotee sawa tu

Wanaume wotee sawa tu

Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee

Wewe kiboko, lakini ukiondoa baba yako wanaume wote tuliobaki ni kaka zako, sasa hao ma dog watoka wapi tena Mkuu@Cariha ?
 
Kwenye vitabu vya MAPOKEO mwanamke kapewa wajibu na mwanaume kapewa wajibu,"Enyi wake WATIINI waume zenu, enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa lake hadi akajitoa asulubiwe."

Wanaume wengi wenye matatizo kwenye mahusiano hulalamika hawaheshimiwi. Hakuna anaesema sipendwi, wanajua wajibu wa mke sio kupenda bali KUTII. Kina mama wengi wenye matatizo kwenye mahusiano hulalama kama sio kulalamika kuwa waume zao hawawapendi. Wanasema hivyo kwa kutambua bayana ni wajibu wa kina baba kupenda.
 
Ndo maana mi sipendi mwanaume nataka nimtii na nimweshimu maandiko yalikuwa sahihi kabisa sisi hupenda kwa hisia panda shuka. Sasa tukikwama ndo mapenzi kwishney ila mwanaume akimpenda mwanamke mapenzi yanadumu daima
 
Wewe kiboko, lakini ukiondoa baba yako wanaume wote tuliobaki ni kaka zako, sasa hao ma dog watoka wapi tena Mkuu@Cariha ?
Naamanisha kaka wa damu sio hao wengine huko wapita njia
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Nahisi bado wapo. Kikubwa unapofanya maamuzi usiruhusu hisia zikutawale au ziwe sehemu ya maamuzi katka mambo ya msingi
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Duuuuu pole kumbe bado unateseka, Pole sana Mery,
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Juzi juzi tu umeleta uzi hata wiki haijaisha ukaombwa waje inbox tayari ishatendwa mara hii? Uliweka vigezo kwanza ulitakiwa ulete mrejesho kuwa usajili ushakamilika. Nina wasiwasi na hija zako!!
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Tupo sana. Hujatujua tu kwa vile hujataka kitujua
 
sio kwel...wanaume wato hatupo sawa..usiseme ivo
Na hili neno wanalosemaga ndo wanafanya tuwe sawa kweli maana unakuta kaumizwa huko mwanaume unajitupa kumpoza kumbe yy analipa kisasi kwako wanasahau wakati mwanamke jua linazama mwanaume ndo kwanza kunakucha
 
Wanadamu wote mnaopenda wenginze zaidi ya mnavyojipenda wenyewe mtaendelea kupata tabu hadi siku yenu ya kufa
 
Wapo wengi tu.....tatizo lako wewe unawatafuta wale wenye mafanikio;tafuta mchoma mkaa,muuza karanga,mbeba maboksi n.k hutojutia na wala hutopata maumivu ya mapenzi.
 
Hahaaaa eti as long as wananigegeda sasa hyo si case nyingine kabisa.

haiwezi kuwa kesi nyingine akati hao unaita mbwa ndio wanakupa hio huduma ya mgegeDo....

Labda kama huwa unapata kwa mbwa OG hehehe
 
Back
Top Bottom