Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
I'm honored kamanda. Afu watu wanashangaa eti mkewe anachukuliwa na taxi driver! Sasa kama mume ukimpigia umepata pancha anakuuliza kama yeye ni fundi gereji, na unampigia taxi driver anamwaga pole za kufa mtu na anakuja anatatua tatizo inaku-cost 10,000 tu! In the end unaanza kuona beyond ile 10 unamuona utu wake!
Wanaume wabinafsi sana, kutwa kulalamika housegeli ndo anapika na kufua (hata na kutandika kitanda). Afu ukijibu mkeo utumbo na ukarudi home ukakuta na gari kalifikisha unajionea sawa tu! Nsije nikaharibu udhu wangu wa xmas mie, aaaghhrrr! Sarawili zingine utadhani wanaume!
...lol...
...haya mahusiano, mapenzi na urafiki ndani ya ndoa za miaka hii tunahitaji kufungua marriage counselling services kiukweli....zama za kupeleka kesi kwenye mabaraza ya wazee kwa usuluhishi, hawawezi kutoa majibu muafaka kwa kesi hizi.
...haijulikani nani kakamata makali nani kakamata mpini, wote majeruhi!