Sheffer95
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 274
- 771
Habari ndugu wanajukwaa
Kwanza nianze kwa kusema hamna watu wanapitia changamoto nyingi za kimahusiano kama wanaume waliooa.
Kwasababu wanawake wengi wanaamini mwanaume alieoa ni mtu ambaye ana uwezo wa kubeba majukumu yake na mtu wake ipasavyo hivyo anaweza kumhudumia na yeye kama akiwa nae na mahusiano, pili ni rahisi kufuatilia nyendo zake na kumdhibiti kwasababu tayari kuna heshima flani tayari amejijengea na hayuko tayari kuipoteza.
Na hivyo kiufupi mwanaume aliyeoa anapitia changamoto nyingi za kutakwa na wanawake wengi na hata akitaka kuachana nao basi wanakuwa ving'ang'anizi sana
Nimekumbuka kisa changu wakati flani niliyekuwa nilikuwa na mchepuko alikuwa na wivu sana, sasa siku moja alinipigia simu usiku kama saa 2 hv nikiwa nyumbani na familia na bahati mbaya wife alishawahi kuitilia mashaka hiyo namba hivyo siku hiyo aliichukua na kesho yake aliamua kumtafuta.
Bahati mbaya sana mchepuko alikuwa anamjua wife, na katika kuongea kwao alimpandisha hasira wife kwa kumwambia kwamba nimepangia nyumba nzima na pia nimemfungulia liquor store kubwa + kumtumia mapicha ya ile liquor store na mimi nikiwepo pale napata kinywaji, Sema hizi picha alinipiga bila mm kujua.
Kumbe wakati sekeseke lile linaendelea kimya kimya mm sijui wife aliendelea uchunguzi wake. Sasa siku moja mchepuko ukanipigia simu kwamba niende pale kwenye liquor store yake nikapate hata kinywaji kwamba kanimiss basi mi nikamdanganya wife kwamba kuna dharula kidogo nimepata ila baada ya masaa 2 nitakuwa home
Sasa kufika pale liquor store kumbe yule mchepuko akampigia simu wife kumwambia kwamba yuko na mimi na kwamba kama haamini anamoigia simu na akampigia Sasa yule mchepuko akaanza kusema baby nimekumiss sana na mm nikasema nimekumiss kipenzi changu wakati huo simu yake iko hewani bila mimi kujua.
Akasema basi baby utaninunulia iPhone uliyoniahd nikamwambia usijali hiyo umepata maana wewe ni wa thamani sana kwangu. Akasema na kiwanja chake kile amepata kama million 5 nimuongezee 5 ili aanze hata msingi nikamwambia next week nakupa hiyo hela, duuh kumbe ndio naharibu zaidi.
Aiseee wife alishindwa kuvumilia akakata simu na kuanza kunipigia simu kwa fujo bila mm kujua kimetokea nini wakati nilimuaga na akanikubalia vizuri.
Sasa ikabidi nitoke pale maana kulikuwa na mziki nisogee pembeni niwasiliane nae, kupokea simu akasema tu nakuja hapo nideal na wewe pamoja na kimchepuko chako nadhani hamnijui heee ndio mm kugundua haka kashenzi kamezingua.
Aiseee nilisepa kufika home wife hayupo nikimpigia simu hapokei.
Kwa kifupi hii kesi ilikuwa kubwa sana na nusura iniharibie heshima yangu Sema nilikana mashtaka yake mbele ya wazee. Ila yule mchepuko nilimpiga chini maana alikaribia kunivunjia ndoa. Hajui kula na vipofu.
Nikaja kupata mchepuko mmoja hivi singo Maza mzuri anajielewa, hana mambo ya kupiga piga simu hovyo wala sms za ajabu ila changamoto yake alitaka anichomekee mimba ili anibane kulea, na kumjengea nikamshtukia
Anyway, mwanaume ukioa hata ujitahd vipi kuwa muanifu inafika wakati wanawake wanakutongoza mpaka marafiki wa mke wako Sasa sijui shida nn.
Mungu atusaidie sana na atusamehe