mtawafanya ma demu wenu wawajue mnacho kipenda zaidi na kama hanacho atapoteza tumaini kuwa humpendi kivile na muda wowote ukipata namba hiyo utamuacha 😀😛
naona 16 tuko wengi sana, alafu hiyo namba nne kama yule delicious wa kiume wa huko bongo, alafu namba moja kuna bro fulani hivi analo yupo pande za mwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.