Hizo unaweza kupata hata kwa dada zetu wa pale Corner bar mkuu.Akili..Fikra..Uelewa.
Akili..Fikra..Uelewa.
Makuzi
Kuna baadhi ya maswali ni sawa na ramli chonganishi tuu sasa wengine tukisema hapa tutaanza kunyooshewa vidole ngoja tu tukae kimyaUkimuona mwanamke akisimama pale, nikitu gani cha kwanza kinakuvutia kwa hicho kiumbe? Kila mmoja mwanaume ataje hapa ili wanawake wajifunze nakujiweka sawa. Lets share!