Wanaume wote, ni sehemu gani unaipenda kwenye mwili wa mwanamke?

Wanawake kaz kwenu sasa. .wanaume wote wa jf wanaangalia wowowo. ..wale mliopigwa pasi tafuteni vigodoro ili mjibusti kidogo mtudanganye
 
Kucha zilizochongwa vizuri,ziwe ndefu kidogo,zote za miguuni na mikononi na kupakwa rangi hasa Red,Brown,Pink,Maroon au Purple,not mixed paints..
 
Binafsi napenda mwanamke asiwe mweupe sana au mweusi sana yani inshort rangi ya chocolate au blackbty..chuchu ziwe zimesimama..tena kubwa kubwa wastani...sura iwe inaeleweka macho makubwa kiasi..awe na vijiipsi kidogo ( bastola) ..asiwe flat screen yani ana (tope)..apo nimemalizwa anaweza asiwe na vyote ila baadhi akawanavyo m naugua ugonjwa wa mahaba apo
 
Back
Top Bottom