Wanaume weusi vs wanaume weupe

Wanaume weusi vs wanaume weupe

Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.

Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...

vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
SO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
najisikia fahari kuwa MWEUSI....kumbe tuna thamani kubwa..
 
Hapana. Hata wanaume mnaruhusiwa kusema hochote.afu [HASHTAG]#daby[/HASHTAG] wewe si mweusi. Naona hapo kwa profile mbona nduki
We tupakazie tu haina shida.

Kikubwa moyo usukume damu usiuchoshe na vitu vingine
 
Sipendi weupe, muhogo baki nao napenda vibamia, na six pack zako pita hivi napenda one pack
pochi haujaongelea halafu wape moyo wenye v bamia tu na mitumbo kama mimba

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Sipendi weupe, muhogo baki nao napenda vibamia, na six pack zako pita hivi napenda one pack
kwanza tuanze ww mwenyewe una tako

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
pochi haujaongelea halafu wape moyo wenye v bamia tu na mitumbo kama mimba

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Pochi umekuwa mwanamke wewe?

Nacheki bank statement, pochi unaweza ukawa umejaza mabusiness card na mauchafu mengine
 
Pochi umekuwa mwanamke wewe?

Nacheki bank statement, pochi unaweza ukawa umejaza mabusiness card na mauchafu mengine
bank statement? makaratasi tu yale tunahifadhi hela kwa madini sa hiii we unaongelea karatasi watu tunatumia bitcoin kuchanhe madini

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Tako ninalo, wewe unakalia mgongo?
simaaanishi tako tako tu namaaanisha churaaaa au msambwanda wa ukwe'eee usiopimika kwa macho

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
bank statement? makaratasi tu yale tunahifadhi hela kwa madini sa hiii we unaongelea karatasi watu tunatumia bitcoin kuchanhe madini

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Hongera na Kila la kheri, uniache sasa
 
Ubo.o mweusiiiiiiiii tiii, picha zitafuata sio muda
 
sasa mbona mi kwangu tofauti mi mwesi ila wanawake weupe ndio wananipenda

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom