Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

Kwangu hapana ,na wala siwezi danganywa ,achukue pesa apeleke wapi wakati wakati lengo la mahusiano ni kujenga kitu kimoja kwa pamoja?
Ukweli lengo la mahusiano ni hilo lakini ukweli ni kwamba vya mume na mke ni vya wote na vya mke na mume ni vya mke kaa ukijua hilo.
 
Ni hataree juzi wangu nmemuachia buku ten narudi kutoka job nakuta ugali na nyanya, namuulz ela nilio acha amepeleka wp ananiambia amepeleka rejesho
Mfundishe namna ya kutunza pesa zake mwenyewe vikoba ni ukilema
 
Wafanyakazi wa Mchina wameamua kupiga picha ya pamoja na mtoto anaemlea huyo dada...
Mtoto baba yake na mama yake wote ni Wachina..
Utajua mwenyewe 😁ila mwanaume mmeupe kazi yake ni kuingiza na kuweka mbegu,kisha anasepa zake...hatupendi uchafu.
 
Ukweli wanawake wengi sana wanependa kuzaa na wanaume weupe. Hii ukatae au ukubali hata wao wenyewe wanasema hivyo.

Ila ukiwakuta front wanapinga vibaya mnoo
 
Ukweli wanawake wengi sana wanependa kuzaa na wanaume weupe. Hii ukatae au ukubali hata wao wenyewe wanasema hivyo.

Ila ukiwakuta front wanapinga vibaya mnoo
Wanasema wanawapenda wanaume weusi kwasababu ni type ya wanaume ambao nirahisi kumilikiwa na wanawake(ni wadhaifu sana kw wanawake) na niwanyenyekevu kwa wanawake kwasababu ya kutojiamini na rangi zao
 
Back
Top Bottom