Mbona video zangu mi filter imegoma au ndo mchawi simu 😅😅😅Tik tok kila manzi ni pisi kinyama sijui filter gani imejengewa mle! Kila pisi yamoto af inafanya ungese
Kupenda kupitiliza.Mtu Akifumania anaua
.Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga
.Mwingine nae wivu tu kameza madonge.
.Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake.
Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd.
Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni uvivu Tongozeni jamani mpate wachumba muoe.
Mchawi simu tu 😅 sasa we unatumia Infinix au Samsung “Falaxy” unategemea maajabu gani?Mbona video zangu mi filter imegoma au ndo mchawi simu 😅😅😅
Dah..!!!, kwahyo zinajirudiaPoints ni zilezile mkuu:
• Lack of exposure
• Lack of experience
• Lack of money
Ni kwa sababu wanaume tunatofautiana na wale wanaojiua ni dhaifuSasa tunakwama wapi kama kila kitu tunacho sisi,pesa tutoe,utamu piaaaa
Mbona natumia haifoni jamaniMchawi simu tu 😅 sasa we unatumia Infinix au Samsung “Falaxy” unategemea maajabu gani?
😀😀😀ngoja nikipata helaTumia iphone kama hiyo inakataa.
Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni uvivu Tongozeni jamani mpate wachumba muoe.