Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

Mimi yani siku hizi kila mmoja naona kama vile ana bei. Tinder imebadili mtazamo wangu. Unaweza kuwa na mpenzi wako unaona pisi kali unavimba, kumbe huko mtandaoni wanamnunua kwa buku 30 mpaka 50. Ukiona una demu hana kazi na ana macho matatu na vitu ambavyo kiuhalisia she cannot afford, baba jua uko kwenye open relationship kama jada na willy.
Namshangaa kama huyu wangu yuko intern miezi sita sasa ila kashamiliki macho matatu Pro.. ya 2022.. Na mimi na kinote 9 changu hapa
 
Demu anauma tena usiombe amchukue siku unakutana na demu wako ana mimba utajamba cheche ya msela hapo sijataja mke maana mke lazima mtu afe kwa namna yeyote ile
 
Back
Top Bottom