Wanaume wenzangu kuweni wakweli

Wanaume wenzangu kuweni wakweli

Lol i'm talking out of personal experience nilishadate na mwanaume hana pesa kwa miaka miwili pesa alizowahi kunipa kiujumla hazizidi hata elfu kumi yaani hata akinikopesha elfu mbili atanidai lakini kilichofanya nimuache wala siyo huo ubahili wake bali ni ubabe wake

Alitaka kila anachoamua yeye nifanye hakutaka kunisikiliza hata mawazo yangu halafu mbaya zaidi kwake kuna vitu vilikuwa na umuhimu zaidi kuliko mimi alikuwa anapenda sana mpira hata kama tulipanga kuonana kama kuna mechi yuko radhi ahairishe kuonana na mimi akaangalie mpira na siyo mara moja

Anyway mimi sikumkataza kufanya starehe zake ilikuwa too much hadi watu wengine wakawa wanamshangaa nilidhani angebadilika lakini alikuja kunihakikishia mwenyewe kuwa hawezi kubadilika hivyo ndivyo alivyo hata tukioana bado atakuwa hivyo hivyo tena hapo nimeongea machache tu ila ningeongea yote nisingeyamaliza hapa

Hapo ndipo nilipoamua nijiengue tu mapema well hadi leo ninavyoongea na wewe hapa ananiomba turudiane lakini mwenzie nilishafunga huo ukurasa anasema eti akiachana na mimi itabidi ajiandae tu kisaikolojia kupata mwanamke anayependa pesa hapo ndo nikakumbuka ule msemo hauwezi kujua thamani ya kitu hadi kipotee
Huyo ndio mwamaume wa ukweli ambaye hayumbi na ana msimamo.
 
Washikaji mnapojieleza kwa marafiki zenu wa kike /wachumba jaribun kuwa wakweli usijiite Manager ilihali si kweli Utaumbuka siku si zako.Kuwa mkweli tuu kwa Nia njema acha kuigiza[emoji13] mdada anakuuomba sh 10,000/= Manager unaanza kigugumizi[emoji23][emoji23]
Mkuu kumbuka ukiwa mkweli hupati mtu. mimi nakumbuka mara ya mwisho nilikua CFA.
 
Ndiyo ni mwanaume lakini siyo mume kuwa mwanaume siyo shida lakini kuwa mume ndo mtihani na ni wachache ndo wana uwezo wa kuwa waume halafu kama angekuwa hayumbishwi na ana msimamo mbona ananiomba turudiane tena? Angebaki na msimamo wake basi
Huyo ndio mwamaume wa ukweli ambaye hayumbi na ana msimamo.
 
Ndiyo ni mwanaume lakini siyo mume kuwa mwanaume siyo shida lakini kuwa mume ndo mtihani na ni wachache ndo wana uwezo wa kuwa waume halafu kama angekuwa hayumbishwi na ana msimamo mbona ananiomba turudiane tena? Angebaki na msimamo wake basi
Nimemaanisha afaa kuwa mume.Swala la kurudiana ni kwa sababu wewe ndiye ulikatisha mahusiano yenu.

Unajua mwanaume akiwa mr.Ndio muda wote utamchoka mapema.
 
Basi wewe ndo haujanielewa mimi sikutaka awe mr ndiyo kwa sababu siwezi na sitaki kumpelekesha mwanaume hata siku moja ila nilihitaji na mimi anisikilize mawazo yangu sasa yeye alijitutumua kujifanya kidume alitaka mimi niwe mrs ndiyo siku zote za maisha yangu

Halafu nimeachana naye eti ndo anaomba turudiane na kuniahidi kuwa atabadilika na atafanya kila ninachotaka sasa kama kweli yeye mwanaume si aendelee na msimamo wake ule ule uzuri nilimwambiaga atafute mwanamke atakayeweza kukubaliana na hiyo misimamo yake maana wapo wengi tu sasa sijui kaenda kakosa ndo kaamua kurudi anajua mwenyewe
 
Lol i'm talking out of personal experience nilishadate na mwanaume hana pesa kwa miaka miwili pesa alizowahi kunipa kiujumla hazizidi hata elfu kumi yaani hata akinikopesha elfu mbili atanidai lakini kilichofanya nimuache wala siyo huo ubahili wake bali ni ubabe wake

Alitaka kila anachoamua yeye nifanye hakutaka kunisikiliza hata mawazo yangu halafu mbaya zaidi kwake kuna vitu vilikuwa na umuhimu zaidi kuliko mimi alikuwa anapenda sana mpira hata kama tulipanga kuonana kama kuna mechi yuko radhi ahairishe kuonana na mimi akaangalie mpira na siyo mara moja

Anyway mimi sikumkataza kufanya starehe zake ilikuwa too much hadi watu wengine wakawa wanamshangaa nilidhani angebadilika lakini alikuja kunihakikishia mwenyewe kuwa hawezi kubadilika hivyo ndivyo alivyo hata tukioana bado atakuwa hivyo hivyo tena hapo nimeongea machache tu ila ningeongea yote nisingeyamaliza hapa

Hapo ndipo nilipoamua nijiengue tu mapema well hadi leo ninavyoongea na wewe hapa ananiomba turudiane lakini mwenzie nilishafunga huo ukurasa anasema eti akiachana na mimi itabidi ajiandae tu kisaikolojia kupata mwanamke anayependa pesa hapo ndo nikakumbuka ule msemo hauwezi kujua thamani ya kitu hadi kipotee
Aisee[emoji39]
 
Thanks ila ndo hivyo mimi naona inategemea tu na tabia ya mtu halafu pia jinsi alivyotendwa huko nyuma wengine wanakuwa hivyo siyo kwa kupenda bali kwa kulazimishwa
Nina uhakika tayari mpaka hapo kutokana na jamaa alivyokutreat before,you are totally different na ulivyokua mwanzo I mean unavowachukulia na mindset kwa ujumla towards men ni tofauti na ulivyowachukulia mwanzoni au hutojitoa tena Kama mwanzo kama ulivokua nae kama ukipata mwingine.
 
Basi wewe ndo haujanielewa mimi sikutaka awe mr ndiyo kwa sababu siwezi na sitaki kumpelekesha mwanaume hata siku moja ila nilihitaji na mimi anisikilize mawazo yangu sasa yeye alijitutumua kujifanya kidume alitaka mimi niwe mrs ndiyo siku zote za maisha yangu

Halafu nimeachana naye eti ndo anaomba turudiane na kuniahidi kuwa atabadilika na atafanya kila ninachotaka sasa kama kweli yeye mwanaume si aendelee na msimamo wake ule ule uzuri nilimwambiaga atafute mwanamke atakayeweza kukubaliana na hiyo misimamo yake maana wapo wengi tu sasa sijui kaenda kakosa ndo kaamua kurudi anajua mwenyewe
Basi mama msameheane,wagombanao ndio wapatanao!Kikubwa mmeshajuana madhaifu yenu mtavumiliana.Na ndio upendo wa kweli.Upendo wa kweli daima haupotei na hauesabu makosa.
 
Nina uhakika tayari mpaka hapo kutokana na jamaa alivyokutreat before,you are totally different na ulivyokua mwanzo I mean unavowachukulia na mindset kwa ujumla towards men ni tofauti na ulivyowachukulia mwanzoni au hutojitoa tena Kama mwanzo kama ulivokua nae kama ukipata mwingine.
No siwezi kupoteza imani kwa wanaume wote kwa sababu ya mwanaume mmoja bado nina imani wanaume wastaarabu na wenye mapenzi ya kweli wapo kwahiyo hata mwingine nitakayempata itategemea na atakavyonitreat tu
 
Basi mama msameheane,wagombanao ndio wapatanao!Kikubwa mmeshajuana madhaifu yenu mtavumiliana.Na ndio upendo wa kweli.Upendo wa kweli daima haupotei na hauesabu makosa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa ndugu nimekuelewa ila niko radhi nimvumilie mwanaume mbahili kuliko mbabe
 
No siwezi kupoteza imani kwa wanaume wote kwa sababu ya mwanaume mmoja bado nina imani wanaume wastaarabu na wenye mapenzi ya kweli wapo kwahiyo hata mwingine nitakayempata itategemea na atakavyonitreat tu
It sounds nice. Uyo mwanaume umpatae atakua na bahati Kama atakua anajielewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom