Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,828
Nyie mnadanganya mambo gan kwa mfano ?Sio wanaume pekee wanadanganya hata sisi wadada tunadanganya sana tu.
Nyie mnadanganya mambo gan kwa mfano ?Sio wanaume pekee wanadanganya hata sisi wadada tunadanganya sana tu.
Sijakupata mam. Bado najenga ukaribu/mazoezi.
Nyie mnadanganya mambo gan kwa mfano ?
Watu wa design hiyo huwa siendelezi nao mazungumzo.Nasikia njaa, naomba hela nikanunue chakula.
Luku imeniishia na simu chaji haina sitapatikana kwa mda.
Ni vingi mtusamehe
Vyote hivyo navifanya kwa moyo mmoja.Usisahau kuchoma tofali wakati unajenga / pushups wakati wa mazoezi
Kwa iyo kipi kizuri kwako jamaa aje akupige fix anafanya kazi tra wakati game bado tight umkubalie then uje gundua umepigwa bao mchana au akwambie ukweli tu.Siyo kwa dunia ya sasa ambayo ukiwa muongo ndo unaonekana mjanja
Kwa post yangu hiyo jibu liko wazi kabisa kuwa ni bora aniambie tu ukweliKwa iyo kipi kizuri kwako jamaa aje akupige fix anafanya kazi tra wakati game bado tight umkubalie then uje gundua umepigwa bao mchana au akwambie ukweli tu.
Nina uhakika hata wewe hupendi ukweli wa aina hio. Correct me.Kwa post yangu hiyo jibu liko wazi kabisa kuwa ni bora aniambie tu ukweli
Ukweli wa aina gani wa kuniambia kuwa hana pesa? Kwangu mimi mapenzi siyo pesa kwahiyo hata kama hana pesa nategemea tu awe na mapenzi ya dhati lakini ukute masikini halafu bado muhuni atanifanya niuwazie hata huo umasikini wake hata kama nilikuwa sijawahi kuuwaziaNina uhakika hata wewe hupendi ukweli wa aina hio. Correct me.
Washikaji mnapojieleza kwa marafiki zenu wa kike /wachumba jaribun kuwa wakweli usijiite Manager ilihali si kweli Utaumbuka siku si zako.Kuwa mkweli tuu kwa Nia njema acha kuigiza[emoji13] mdada anakuuomba sh 10,000/= Manager unaanza kigugumizi[emoji23][emoji23]
😂😂😂Hivi Magu angesema atatufanyia hivi ungempa kura?
Nyie mnadanganya mambo gan kwa mfano ?
basi unakosa vingiSijawahi kutumia uongo kumpata mwanamke.
Ukweli umeniweka huru siku zote.
Iv nyie wanawake wa aina hi mnaexist sayari gani sijawai kutana nao kwenye sayari hii ya tatu.. Wanawake wenyewe humu na mtaani wanaclaim kwamba mapenzi bila pesa hayanogi anyway labda level ya pesa tunatofautiana unavoichukulia I'm sure utakua na level yako ya pesa bana hata ukija kuolewa siamin hautaangalia financial security iko vipi kwa ajili ya future yenu kwa level yako ya maisha.. ila Kama Ni wale mpo tayari kuanza chini mu hustle wote basi mme baki wachache Tena inabid tukawahifadh national museum kwa ajili ya vizazi vijavyo.Ukweli wa aina gani wa kuniambia kuwa hana pesa? Kwangu mimi mapenzi siyo pesa kwahiyo hata kama hana pesa nategemea tu awe na mapenzi ya dhati lakini ukute masikini halafu bado muhuni atanifanya niuwazie hata huo umasikini wake hata kama nilikuwa sijawahi kuuwazia
Yaani awe masikini wa pesa bado tena awe masikini wa mapenzi yaani hata kunipa mapenzi tu nako kumshinde sasa huyo anataka atoe nini kingine basi abaki single tu apambane na hali yake au atafute wale wanawake wenye shida sana na ndoa ambao wako tayari kuolewa na mwanaume yeyote yule ili mradi ana jinsia ya kiume
Lol i'm talking out of personal experience nilishadate na mwanaume hana pesa kwa miaka miwili pesa alizowahi kunipa kiujumla hazizidi hata elfu kumi yaani hata akinikopesha elfu mbili atanidai lakini kilichofanya nimuache wala siyo huo ubahili wake bali ni ubabe wakeIv nyie wanawake wa aina hi mnaexist sayari gani sijawai kutana nao kwenye sayari hii ya tatu.. Wanawake wenyewe humu na mtaani wanaclaim kwamba mapenzi bila pesa hayanogi anyway labda level ya pesa tunatofautiana unavoichukulia I'm sure utakua na level yako ya pesa bana hata ukija kuolewa siamin hautaangalia financial security iko vipi kwa ajili ya future yenu kwa level yako ya maisha.. ila Kama Ni wale mpo tayari kuanza chini mu hustle wote basi mme baki wachache Tena inabid tukawahifadh national museum kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Yes.. kwa wewe personal kupenda bila kuangalia status inawezekana ila sasa majority ya Wanawake zaidi ya asilimia 95 wako after money..Lol i'm talking out of personal experience nilishadate na mwanaume hana pesa kwa miaka miwili pesa alizowahi kunipa kiujumla hazizidi hata elfu kumi yaani hata akinikopesha elfu mbili atanidai lakini kilichofanya nimuache wala siyo huo ubahili wake bali ni ubabe wake
Alitaka kila anachoamua yeye nifanye hakutaka kunisikiliza hata mawazo yangu halafu mbaya zaidi kwake kuna vitu vilikuwa na umuhimu zaidi kuliko mimi alikuwa anapenda sana mpira hata kama tulipanga kuonana kama kuna mechi yuko radhi ahairishe kuonana na mimi akaangalie mpira na siyo mara moja
Anyway mimi sikumkataza kufanya starehe zake ilikuwa too much hadi watu wengine wakawa wanamshangaa nilidhani angebadilika lakini alikuja kunihakikishia mwenyewe kuwa hawezi kubadilika hivyo ndivyo alivyo hata tukioana bado atakuwa hivyo hivyo tena hapo nimeongea machache tu ila ningeongea yote nisingeyamaliza hapa
Hapo ndipo nilipoamua nijiengue tu mapema well hadi leo ninavyoongea na wewe hapa ananiomba turudiane lakini mwenzie nilishafunga huo ukurasa anasema eti akiachana na mimi itabidi ajiandae tu kisaikolojia kupata mwanamke anayependa pesa hapo ndo nikakumbuka ule msemo hauwezi kujua thamani ya kitu hadi kipotee
Thanks ila ndo hivyo mimi naona inategemea tu na tabia ya mtu halafu pia jinsi alivyotendwa huko nyuma wengine wanakuwa hivyo siyo kwa kupenda bali kwa kulazimishwaYes.. kwa wewe personal kupenda bila kuangalia status inawezekana ila sasa majority ya Wanawake zaidi ya asilimia 95 wako after money..
Ila kwa swala la jamaa yako siku zote mtu hata akiwa na kizuri anaweza asione umuhimu wake mpaka atakapo kipoteza.
Btwn I like you