Wanaume wenye vitambi na ufanisi wao.......

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
Nimesikia kutoka kwa wanawake kadhaa kwa nyakati tofauti wakisema vitambi kwa wanaume vinacompromise na ufanisi wao wa kufanya mapenzi. Sijui ndugu zangu mnasemaje, kama ndivyo basi tujitahidi kuvimomonyoa, na kuzuia visitokee!!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
kila mtu ana utashi wake analyst.nadhani inategemea na mtazama,na pia ina influence kubwa from mazingira mtu aliyokulia. niku-challenge kitu: mkeo/gf wako ana tofauti sana kimaumbile/kimtazamo na mama yako au dada zako? wakati mwingine anaweza kuwa amefanana sana hata na ex wako,lol! kuna mkaka ambae bila semi-trailer hajavutiwa. same as kuna mdada ambae bila kifriji (sio extreme) hajapata mvuto. kuridhika sio issue ya sarakasi tu,inaanzia kwenye nafsi!
 
bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
789

Weye unavutiwa na nini sasa King'asti?kifriji cha ushikaji au?
 
bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
789
Nimesikia kutoka kwa wanawake kadhaa kwa nyakati tofauti wakisema vitambi kwa wanaume vinacompromise na ufanisi wao wa kufanya mapenzi. Sijui ndugu zangu mnasemaje, kama ndivyo basi tujitahidi kuvimomonyoa, na kuzuia visitokee!!

Ni kweli, na wala sikatai moja kwamoja!Kitambi kikubwa kina madhara yake kwenye ufanisi,

lakini sio kwa wote, sababu kubwa ni uvivu tu..........

unajua Analysti, dada zetu wengi walishadanganyika sana na hili.........

Anamparamia mwanaume, huku akitengeneza majibu kuwa hapa ni kuteleza tu.....

Kisa kaona kitambi, kwahiyo ana uhakika gwaride halitakuwa la kufa mtu....

Hii tafsiri imewatokea puani dada zetu wengi tu.................kwani walichokuja kukikuta huko ni balaaa..................

Please, ''dont judge a book by its cover''
 
analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
kila mtu ana utashi wake analyst.nadhani inategemea na mtazama,na pia ina influence kubwa from mazingira mtu aliyokulia. niku-challenge kitu: mkeo/gf wako ana tofauti sana kimaumbile/kimtazamo na mama yako au dada zako? wakati mwingine anaweza kuwa amefanana sana hata na ex wako,lol! kuna mkaka ambae bila semi-trailer hajavutiwa. same as kuna mdada ambae bila kifriji (sio extreme) hajapata mvuto. kuridhika sio issue ya sarakasi tu,inaanzia kwenye nafsi!

What a wonderfull examplification!!
 
NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
mm nahisi styles lazima zigome kwa mtu mwenye kitambi..na kwa maana hiyo ufanisi hautakuwepo...c unajua unatakiwa kujikunja kama kambale...
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,191
1,639
Ni kweli, na wala sikatai moja kwamoja!Kitambi kikubwa kina madhara yake kwenye ufanisi,

lakini sio kwa wote, sababu kubwa ni uvivu tu..........

unajua Analysti, dada zetu wengi walishadanganyika sana na hili.........

Anamparamia mwanaume, huku akitengeneza majibu kuwa hapa ni kuteleza tu.....

Kisa kaona kitambi, kwahiyo ana uhakika gwaride halitakuwa la kufa mtu....

Hii tafsiri imewatokea puani dada zetu wengi tu.................kwani walichokuja kukikuta huko ni balaaa..................

Please, ''dont judge a book by its cover''

Chonde chonde KITAMBI nomar!!!
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,601
11,846
Ukiwa na hela na ukawa na kitambi kama cha komba hakuna mwanamke atakayekukataa.

Wote watakusifia ni rijali.
 
Bagenyi

Member
Jun 29, 2011
26
3
Wanaosupport vitambi eti sio issue wana2cheat! Imagine mtu ana mzigo km mimba ataweza wapi kumkunjaje na kumkuna vizuri mwanamke ilhali anapumua kwa shida! Kwanza fimbo ilishakuwa fupi coz kitambi, mbaya ana presha, huwezi mziki hata wa pushapu hata 40! Lakn ukiwa na kakitambi kadogo kakuuzia sura mjini ako akaathiri. Acha bwana watu vimbaumbau 2pige mashine haswaa.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,958
10,285
Jamaa yangu anacho. Shughuli yake we acha kabisa, waweza kimbilia bafuni uakajifungia huko mpaka atoke room. Mtambo unasugua noma! Kitambi si ishu. Acha uzembe mechini.
 
la Jeneral

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
392
57
kitambi kama kitambi sio mbaya ishu ni kitambi zembe unakuta mtu hata kufunga kamba za viatu hawez,ogopa sanaa ukifikia stage hyo asee....hata kitandani ufanis unapungua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom