Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Wanaume wenye tabia hii naomba muache

mkuu sisi binadamu tupo tofauti, kuna baadhi ya wanaume sio wapenzi sana wa kula vyakula, akila kidogo tu sehemu tyar keshashiba,, nafkir ww ndio mwenye jukum la kumchunguza mmeo kama hyo tabia ni ya kila siku
 
Itabidi uwe unamuuliza aiseee huo ni uharibifu wa chakula
 
Wanawake wazuri sana mtandaoni ila majumbani mnafanya vituko vitupu wengine hata kuweka maji ya kuoga ya mume au kauli nzuri ya kumfanya mume ajisikie kula hamna,mume akijua muda wa kurudi nyumban umefika anatamani aendelee kubaki kazini unadhani hapo hamu kula itakuwepo!?jichunguze na mchunguze mumeo kuna mmoja anamatatizo pia simu zipo kabla hujaandaa weka utaratibu wa kuwasiliana kama siku anachelewa kula akupe taharifa usipike na kama siku anawahi kula anakupa taharifa pia.Mimi mke wangu aandai chakula mpaka tuwasiliane maana pia inategemea siku hiyo nina hamu ya kula nini sio mchana nimekula ugali then jion tena uniwekee ugali maharage sili bora nikanywe soda nilale.
 
Mmmh!!1 Nina mashaka kuna mdau anatoa huduma bora. majukumu kusaidiana jamani
 
Sasa kama unapika chuzi kama bahari ,ubwabwa utadhani mtu unatafuna karanga nani atakula au nyama ngumu mpaka kuimeza inabidi utafute kwa kuegemea au ugali mgumu mpaka kuumega mpaka misuli ya mikono inakusimama kama unanyanyua kitu kizito.....inatakiwa ujiulize kwanini hali sio unalalamika..kwani huyo ni mumeo.
 
msipende kukariri, binadamu tupo tofauti, kuna wengne sio wapenzi wa misosi kwahyo akila chakula mda mbovu ndio hali tena mpaka kesho. Na kuna wengne akitangulia kunywa pombe kabla hajala msosi unakuwa haupandi tena....
kama ameanza siku nyingi sawa lakini kama ameanza hivi karibuni basi ukiona manyoya............
 
Kuna jamaa mkewe
hampikii,mke anapita gengeni kununua vihepe
mume akirudi anatengeneza chai na ubwabwa mkavu.
Wananifurahisha sana.
wapo kiroho safi.
na sabuni ya kuoga
kila mtu nana ya kwake.
hata ndoo za maji.
 
Poleni ndio ndoa huo,ingekua nimimi nisingefanya hvyo
 
Tatizo hili jukwaa si la kujenga tena familia too sad.

Ongea na muhusika ujuwe tatizo ni nini kama ni mnywaji bia ile migesi ukirudi home huwezi kula pia jenga utamaduni wa kumpigia simu mapema na ujuwe angependa kula nini usiku ukishaandaa anaporudi unamfungulia mlango ukiwa na kanga moko unamuuliza anaanza na wewe au anaanzia mezani?

Tatizo kitchen party zenu mmekazania tu zawadi za sahani za plastic hazitakiwi!!

Mambo mengine ni basic sana kama watu wa jikoni kwenye mabar wameshatusoma ukimwambia Mangi kama kawaida anaelewa nyinyi mnashindwa vipi kuwasoma waume zenu?
 
Vipi anaacha kula lakini anatekeleza majukumu yake au umechukia na kusema kama mtu mzima ila ulilenga kutueleza kuwa mambo hayaeleweki safari za mbugani
 
Aisee...hv kwanini humu duniani vitu vipo tofauti-tofauti? Wengine tuna-wish wake zetu muwe hivi lakini tumekumbana na wanaofikia kulala wakitoka kazini. Tunaishia kula chakula cha hausigeli!

Hv haifai kubadilishana wanawake?
Na nyie wanawake mnaofanyaga haya,muwafundishege na wenzenu basi, waume wengine tunaumia

hiyo ni vise versa mkuu
 
mie hata kama nimeshiba vipi lazima nile manake nyie akina mama / dada huwa mna maamuzi magumu sana
 
mm kabla ya kupika msosi mke wangu ananiuliza mpz ungependa kula nini kwa leo. Kwa hiyo mtoa mada penda kuwasiliana na mme wako ili usikereke zaidi wakati kuna jinsi ya kuepuka kero hizo.
 
Umenikumbusha jamaa yangu alirudi nyumbani usiku akamwanbia wife ameshiba.shemeji Si akampa houseboy akala chakula.asee jamaa akamka saa 6 anataka chakula njaa inauma.kilifuata kipigo cha kutosha.
 

kama ni mm wala sitojisumbua
aendelee kuchelewa kula lunch huko2!!
 
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU

Hahahahahaaaaa
We ni funiko la mavi mkuu.
 
Hongera kwa habari nzuri.Kwa kweli wanaume wanakera utakuta mwanamke kapika tena vizuri alafu mwanaume akija hali mnakera wanau me muache hii tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom