Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Unge kuwa wangu ningekuita super woman…
 
Khaa!! Chakula kizuri kwa mume ni maneno mazuri, heshima, umjali na kumpa haki yake.wala si makaangizi. Wanaume ni wajinga sana (mimi simo) Mnaweza kuwafanya mtakavyo
 
Habari wana Jamii Forums.

Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba.

Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni.

Asante.
 
Good post....mie nitakuwa namtaarifu mke wangu asiandae msosi endapo sitaweza kula. Au nayo vibaya?
 
Habari wana Jamii Forums.

Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba.

Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni.

Umenigusa sasa unadhani tufanyeje wakati unakuwa ndio umekula na hukula kweli lunch
 
Kama ameshashiba kwa hawara unataka aje kula tena kwako poleni sana
 
Dah,sijui ni njaa maana mara baada ya kusoma nikahisi hamu
ya kula,Kweli wanaume tubadilike.
 
Habari wana Jamii Forums.

Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba.

Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni.

Hata Mimi ambaye sio mwanachama mwaminifu wa Jukwaa hili, nakuunga mkono na mguu.

Vv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom