tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,771
Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
Ha ha ha ha haTatizo hiyo busara haitumiki kabla ya kuanza kujitumbukiza kwenye matatizo.
Ha ha ha ha hicho kiungo hakijawekwa hapo kama urembo,usipotumia kitapotea baadaye uanze kulalamika...mara imekuwa flat,mara kibamia n.k (jikumbushe...'darwinism')Kwahiyo wewe usipofanya kila siku unaumwa au unakufa??
Ha ha ha ha hicho kiungo hakijawekwa hapo kama urembo,usipotumia kitapotea baadaye uanze kulalamika...mara imekuwa flat,mara kibamia n.k (jikumbushe...'darwinism')
Haya mkuu ya kwako ikija kupotea usije kuomba msaada hapa jamvini....itabidi ujikaze kisabuni tuKwamba hata ukikaa siku mbili bila kufanya kinapotea?? Hivi haujishitukii mtu mzima unavyotoa sababu za kijinga hivyo??
Eeh kazi ipo hapaHaya mkuu ya kwako ikija kupotea usije kuomba msaada hapa jamvini....itabidi ujikaze kisabuni tu
Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
Kweli mke atabaki kua mkeMichepuko hutusaidia kutuliwaza mke atabaki kua mke
Mko sahihi kufanya hivyo? ?? Mbona hili swali umeli jumlisha kwa wanaume wote. .. Au wanaume wote huwa tuna chepuka?Yote hayo ya nini kwanini usitulie tu na mkeo??
Haujanijibu nimekuuliza kwahiyo mnajiona mko sahihi kufanya hivyo??
Marianah in New ID...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HAPANA.Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
Mko sahihi kufanya hivyo? ?? Mbona hili swali umeli jumlisha kwa wanaume wote. .. Au wanaume wote huwa tuna chepuka?
Michepuko husababishwa na wanawake kushindwa kutimiza wajibu wao ndani ya ndoa, ukorofi nk.Hivi mwanaume asipokuwa na mchepuko anadhurika nini eti??
Michepuko husababishwa na wanawake kushindwa kutimiza wajibu wao ndani ya ndoa, ukorofi nk.
Mazoea, uzembe na kuona alichokuwa anakitafuta amekipata (ndoa) hivyo anajiona hana mshindani tenaUnadhani ni kwanini mwanamke anashindwa kutimiza wajibu wake??
Mazoea, uzembe na kuona alichokuwa anakitafuta amekipata (ndoa) hivyo anajiona hana mshindani tena
Siyo wote ila ni wengi na hilo swali ukilisoma vizuri utagundua kuwa limewalenga wale wanaume wanaochepuka tu akiwemo huyo niliyemquote halafu pia hata wanaume msiochepuka bado mnapigia debe uchepukaji kwa sababu mnaona ni sahihi mwanaume kuchepuka!!
Kwani ni nani aliosema mwanaume kuchepuka sio sahihi..?Siyo wote ila ni wengi na hilo swali ukilisoma vizuri utagundua kuwa limewalenga wale wanaume wanaochepuka tu akiwemo huyo niliyemquote halafu pia hata wanaume msiochepuka bado mnapigia debe uchepukaji kwa sababu mnaona ni sahihi mwanaume kuchepuka!!