Wanaume wenye Ndoa

Kuoa ni jambo jingine na mchepuko huko ndio kuna mapenzi ya kweli maana sisi wanaume tunafuata fundi wa mapenzi
 
Kuchepuka huku ukiwa ndani ya ndoa ni kama ajali tu...

Ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na hizi ajali
 
Sio rahisi kuhamisha upendo, nyumba ndogo ni ya kutoa mapresha ya nyege tu.
 
Sasa upendo na ngono wapi na wapi....kwa hiyo mtu anaechukua malaya kila siku..inamaanisha anawapendo.....Mke ni mke na atabaki mke..na mchepuko ni mchepuko tafadhari....
 
Kuna Wanaume wengi tu wana Ndoa zao hapo hapo wana Nyumba ndogo na wanazitunza vizuri sana, Nyumba ndogo atanunuliwa Gari atajengewa Nyumba na mtaji wa biashara anapewa pale inapobidi kufanya hivyo na mambo mengine mengi tu atafanyiwa, kwa maana hiyo ni kwamba huyu Mwanaume ana upendo wa dhati pia kwa huyo Nyumba ndogo.
 
Nikiwa mkubwa nitajaribu nione ikoje....
 
Huwa ni tamaa tu kuwa na mchepuko.
 
Jisemee nafsi yako mkuu
Sasa upendo na ngono wapi na wapi....kwa hiyo mtu anaechukua malaya kila siku..inamaanisha anawapendo.....Mke ni mke na atabaki mke..na mchepuko ni mchepuko tafadhari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…