Haka kauchunguzi kangu nilikokafanya kalihusisha marafiki zangu wengi ambao tuligraduate nao miaka mingi ilopita.
Wengi wao wameoa wanawake wasiokua na mvuto, wanashindwa hata kutoka nao out, hata kuwatambulisha kwa marafiki zao. Mara nyingi hata ukifungua kwenye social network zao ni adimu sana kuwa apulodi kwenye wall zao sanasana huisia ku apulodi za watoto wao.
Tukija upande wa pili. Wale vijana wa kitaa ambao elimu yao ni ya kawaida tu ndio wanamiliki wadada wakalii.
Hivi tatizo ni nini haswa?
Kuna kaukweli flan hv japokuwa wapo ambao ni wasomi lkn katika kubukua kwao walikuwa wakijichanganya na watu. Hawa huwa ni wasomi lkn hawana tofauti na watu wa kawaida na ukikuta anaejua kuitumia elimu yake, inakua ni advantage.
Unao wasema wewe ni wale wasongoninyo, wenye akiri za kulazimisha, yeye anachokijua ni kitabu tu, hajui mambo ya michezo wala disko, hajichanganyi na watoto wa kitaa kwakuwa maisha yake yeye ni kubukua.
Hawa jamaa kwanza co romantic,hawajui kutongoza, hawajui mapenzi wala definition yake, mwanamke akiolewa na mtu km huyo ana kazi kweli na km mwanamke elimu yake ndogo atanyanyasika sana na km ni Mhaya bac mke atakoma ubishi. Walio wengi vigezo vyao vya kumpata shori wanaangalia
1. Amesoma?
2. Km kasoma, vp GPA yake?
3. Anaongea kiingereza vizuri?
Na vigezo vingine vya kipumbavu, na hata km kapata dem mkali basi ujue pesa yake imesaidia, km kuna muuni alikuwa anagonga huyo shory kuna uwezekano akaendelea.
Wengi wao kwakuwa hawakuwahi kuutumia vzr uvulana wao, wanakuwa wanapenda sana vibinti.
Na kwakuwa wengi wao hawajui kutongoza ili kumpata demu, wanakua wanahonga sana hvyo ukiona ana demu mkali wala usishtuke, km umefagilia muimbishe demu atakuambia kuwa jamaa anashinda na laptop tu hadi chumbani anabukua.
Ukitaka kuwajua hawa watu, huwa wanaanzaga kuvaa miwani mapema mno hata km shuleni kwao walikuwa hawali majaragwe.