Wanaume wenye elimu wavivu kuchagua wake

Wanaume wenye elimu wavivu kuchagua wake

Kwani mwanamke mkali hawezi kuwa wife material?????

Tatizo siku hizi JF watoto ni wengi!! Pamoja na kukufafanulia bado hujanielewa?? Ndiyo maana kila siku thread zenu humu ni kulialia kulalamikia wanawake mara oooh!! Wanatupiga vibuti sana, mara oooh! Mizinga mingii, mara oooh!! Wife wangu nimempa laki sita ya matumizi kwa mwezi katumia yote kwa siku mbilii!!

Nimemaliza
 
Utapost vipi picha ya mkeo kwenye mitandao ya kijamii....??
ukiwa na maana gani hasa....??
Unamuuza....??
Umeoa kwa ajili ya kuwaringishia watu au ili watu wakuone kuwa nawe umeoa..
...??
 
Ndiyo jinsi mungu anavotafuta balance katika maisha.
 
Matatizo mengi ya kwenye ndoa yanaanzia tangu tunapochagua wachumba au wenza wetu......huwa tunafanya kosa kubwa sana tunapolingisha sura ya kuvutia na umbo la kuvutia la mwanamke kuwa ndio ni kigezo cha kuwa mke bora......kimsingi ni kwamba sifa ya kwanza ya mwanamke anayefaa kuoa ni tabia njema na ya pili ni heshima
...mwanamke mwenye sifa hizo ndio anayefaa kuwa mke wa mtu....unapochagua mchumba jua kwamba wewe ndiye utakayeishi naye na sio marafiki zako wala ndugu kwa hiyo kama ni machungu ya ndoa wewe ndiye utayekuja kuyapata na kama ni raha za ndoa ni wewe ndiye utakayekuja kuzifaidi na wala si hao marafiki au ndugu zako kwa kuwa wewe ndiye staring....
Uchaguzi wako sahihi wa mchumba ndio utakaoamua hatima ya ndoa yako.....
Wapo watu nawafahamu wameoa wanawake warembo wa sura na maumbo ya kuvutia lakini wanaishi kama wapo guantanamo kwani mwanamke ni jeuri mpaka unajiuliza nani aliyeolewa humu ndani....
 
Mke sio sura! Halafu unataka akuwekee mkewe kwenye sosho midia ili iweje?
 
Yaani hiyo ndiyo tofauti ya msomi na asiye msomi!! Priority, wale wakitaa maisha yao ni ya show, watoto wazuri anataka maisha ya kujishow!! Hela za ngada na za kuotea hiyo ndiyo kazi yake

Msomi kila senti ina mipangilio, eti anavuja jasho mwezi mzima then uje ufanyie show hela yake, patachimbika! So, anahitaji mke wa kawaida sana, asiye na makuu ili life liweze kusonga!!

Hakuna uhusiano kati ya uzuri wa mwanamke na makuu, mwanamke anaweza kuwa wa kawaida tu na akawa na mkuu, na pia anaweza kuwa mzuri sana na asiwe na makuu.
 
ni kweli 100% kama mimi watoto wakali nimewaacha wote dah...ila mimi awe na maini tu.sura siangalii
 
Yaani hiyo ndiyo tofauti ya msomi na asiye msomi!! Priority, wale wakitaa maisha yao ni ya show, watoto wazuri anataka maisha ya kujishow!! Hela za ngada na za kuotea hiyo ndiyo kazi yake

Msomi kila senti ina mipangilio, eti anavuja jasho mwezi mzima then uje ufanyie show hela yake, patachimbika! So, anahitaji mke wa kawaida sana, asiye na makuu ili life liweze kusonga!!

Wale wamama wa uswahilini kazi yao kujipima mat*ko na kuyatingisha barabarani na kuhakikisha wamejipamba vya kutosha ili mabwana wamwone na kumsifia. Lakini huku kwa wasomi kuna kuangalia future yenu iko vipi kwa hivyo hakuna muda wa vitu kama hivo.
 
hilo lina ukweli fulani pamoja na kwamba si kweli kuwa hawatambuloshi wake zao kwa marafiki. mimi naona wasomi wengi hawataki stress zisizo kuwa za lazima ndo maana wanaangalia mwanamke anae jitambua na anae weza ku handle familiabwakati yy anatekeleza majukumu yake hata kama wote wawili watakuwa bze. pili miaka hii vijana hawangalia sura au urembo wanaangalia mwanamke ambae hawezi kuwa kikwazo ndo maana hata ndoa nyingi za wasomi hata wasio wasomi wanao angalia urembo tu wa mwanamke bila kuangalia consideration ya factors zingine hazidumu
 
Utapost vipi picha ya mkeo kwenye mitandao ya kijamii....??
ukiwa na maana gani hasa....??
Unamuuza....??
Umeoa kwa ajili ya kuwaringishia watu au ili watu wakuone kuwa nawe umeoa..
...??

nimekusoma..mkuu
 
Back
Top Bottom