Wanaume wenye elimu wavivu kuchagua wake

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,972
Huu uchunguzi wangu nilioufanya kalihusisha marafiki zangu wengi ambao tuligraduate nao Miaka ilyopita.
wengi wao wameoa wanawake wasiokua na mvuto, wanashindwa hata kutoka nao out, hata kuwatambulisha kwa marafiki zao.

Mara nyingi hata ukifungua kwenye social network zao ni hadimu sana kuwa aplod kwenye wall zao huishia ku aplod za watoto wao.

Tukija upande wa pili, wale vijana wa kitaa ambao Elimu yao ni ya kawaida tu ndio wanamiliki wadada wazuri
hivi tatizo ni nini.
 
unamatatizo sio bule,mwanaume makini ahangalii sula bali kichwani kuna nini.
 
Kwa mfano wewe upo kwenye kundi gani ? wenye elimu au wasio na elimu ?

Yan wewe nawe unaonekana una ubongo mdogo kama wa mende (samahani lakini) Mtu akishasema tuliograduate nao, ina maana nayeye amegraduate. Kifupi nayeye ni msomi, ana elimu ya juu. Yani unashindwa kutumia logic kwenye vitu vidogo kama hivi????
 
Haka kauchunguzi kangu nilikokafanya kalihusisha marafiki zangu wengi ambao tuligraduate nao miaka mingi ilopita.
Wengi wao wameoa wanawake wasiokua na mvuto, wanashindwa hata kutoka nao out, hata kuwatambulisha kwa marafiki zao. Mara nyingi hata ukifungua kwenye social network zao ni adimu sana kuwa apulodi kwenye wall zao sanasana huisia ku apulodi za watoto wao.
Tukija upande wa pili. Wale vijana wa kitaa ambao elimu yao ni ya kawaida tu ndio wanamiliki wadada wakalii.
Hivi tatizo ni nini haswa?

Yaani hiyo ndiyo tofauti ya msomi na asiye msomi!! Priority, wale wakitaa maisha yao ni ya show, watoto wazuri anataka maisha ya kujishow!! Hela za ngada na za kuotea hiyo ndiyo kazi yake

Msomi kila senti ina mipangilio, eti anavuja jasho mwezi mzima then uje ufanyie show hela yake, patachimbika! So, anahitaji mke wa kawaida sana, asiye na makuu ili life liweze kusonga!!
 
kabisaaa
 
Wewe wako yukoje?! Au bado hujaoa?!

Pengine tatizo ni udomo zege au woga wa kuibiwa. Au labda tuseme tu kwamba walionao ndio waliowapenda. Kuwarusha kwenye social networks sio ishu sana.
 
Yaani hiyo ndiyo tofauti ya msomi na asiye msomi!! Priority, wale wakitaa maisha yao ni ya show, watoto wazuri anataka maisha ya kujishow!! Hela za ngada na za kuotea hiyo ndiyo kazi yake

Msomi kila senti ina mipangilio, eti anavuja jasho mwezi mzima then uje ufanyie show hela yake, patachimbika! So, anahitaji mke wa kawaida sana, asiye na makuu ili life liweze kusonga!!

Hata mwanamke mzuri anaweza asiwe na makuu

Kuna wanawake sura mbaya lakini ukimkuta hizo gold alivyozining'iniza kama mke wa Farao!!!!!!!
 
kila mtu anamzuri wake jaman waweza ona mbaya wakati mwenzio anamuona malkia
 
Hata mwanamke mzuri anaweza asiwe na makuu

Kuna wanawake sura mbaya lakini ukimkuta hizo gold alivyozining'iniza kama mke wa Farao!!!!!!!

Tofautisha kati ya mwanamke mzuri na mwanamke 'mkali'. Mwanamke mzuri ni wife material ila mkali, wa kutoka nae out, kuweka kwenye social network!! Hujaelewa tu ni mwanamke gani??
 
Kwani mwanamke mkali hawezi kuwa wife material?????
 
Back
Top Bottom