Wanaume wenye Avatar za wanawake hapa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wenye Avatar za wanawake hapa JF

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by No admission, Mar 11, 2012.

 1. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika uchunguzi wangu wa miezi kadhaa ka kufuatilia discussions hapa JF nimegundua kuwa kunawanaume walioweka avatar za wanawake?
  SWALI: JE HAWA JAMAA WANA TABIA ZA KIKE PIA
  MICHANGO: NAOMBA TUORODHESHE MAJINA YAO HAPA ILI WABADILI HIZO AVATAR ZAO
   
 2. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,719
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  kumbe wapogo?mi nilijua hakunaga!hapo ktk avatar yangu ni mimi mwenyewe nakula nyama kwa kwenda mbele!na hata jina ni jina langu halisi nimeongeza mc hapo mwanzo kwa vile mimi ni mc ktk sherehe na matukio mbalimbali!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tuambie wewe si ndio umefanya uchunguzi??
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  000 ni wa kwanza.
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Anza ww
   
 6. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata wanawake wenye avatar za kiume jitajeni. msipojitaja au kubadili avatar zenu tutawataja.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,325
  Trophy Points: 280
  Bujibuji kaweka avatar ya jini mahaba bin mahabuba
   
 8. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Shangaa na roho yako dear No admission! Kama unahisi kuwa pengine walioweka avatar za kike wanaweza kuwa na tabia za kike, na walioweka avatar za wanyama pia ni hivyo hivyo? Kwamba wana tabia kama za hao wanmyama?
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Hahahaha....... we mkare!!
  MP.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nkwara tu huo nsee
   
 11. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mimi hii yangu ni halisi sijaibaka.
   
 12. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Username ni Surname yangu na Avatar ilyopo ni mimi mwenyewe. Cjachakachua.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sijaelewa unataka kudeliver ujumbe gani kwenye mtandao huu makini wa jf....!

  halaf nitakuuliza siku moja kama mtu akiamua kuweka picha ya mtoto wake..wa kike hoja yako sijui itakuwa na mashiko kwa kiasi gan
   
 14. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Acheni kupotexa muda mfanye kazi.

  maana mnakoelekea mtaanza kusema watu hawatumii majina yao, mara ooooh waweke picha zao,

  sio issue kama vipi unapotezea, kifupi huwezi kujua mtu ni wa kike au wa kiume kwa kuangalia avatar yake, mfano nikuulize, Invisible ni wa kike au wa kiume? hautakuwa na jibu la uhakika utasema tu kwa kuhisia kwani mwenyewe haja disclose gander yake so to the avatar.
   
 15. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  Kama kuna haja ya mtu kuficha jina lake, kwanini asiende mbali zaidi kwa kuficha gender yake?
   
 16. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana Maprosoo ni kichwa nazi, ha ha haah. Naona mnatukana watu kisayansi na tecnolojia.
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama umewagundua ungeanza kuwataja baadhi yao ili sisi tuendelee, sasa umewagundua alafu huwataiji sisi tukueleweje?
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umeambiwa taja na siyo kujielezea
   
 19. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Kwani wanawake wanatabia gani mpaka zikakufanye uanze tafiti!
   
 20. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  Mfumo dume in action
   
Loading...