Wanaume wenye Avatar za wanawake hapa JF

hahahahahaa uwiiii hichi kichekesho nimecheka mpaka machoz yamenitoka.
 
sijaelewa unataka kudeliver ujumbe gani kwenye mtandao huu makini wa jf....!

halaf nitakuuliza siku moja kama mtu akiamua kuweka picha ya mtoto wake..wa kike hoja yako sijui itakuwa na mashiko kwa kiasi gan
Mkuu acha na hawaii vijana wa fesibuku!
 
Hahaaaaaaaaaaaaaah! kwenye utani unapoongea ukweli unauma we acha tu, lakini inategemeana na ntu na ntu
 
Katika uchunguzi wangu wa miezi kadhaa ka kufuatilia discussions hapa JF nimegundua kuwa kunawanaume walioweka avatar za wanawake?
SWALI: JE HAWA JAMAA WANA TABIA ZA KIKE PIA
MICHANGO: NAOMBA TUORODHESHE MAJINA YAO HAPA ILI WABADILI HIZO AVATAR ZAO
tatizo likwapi?na wenye avatar za nyani?
 
Katika uchunguzi wangu wa miezi kadhaa ka kufuatilia discussions hapa JF nimegundua kuwa kunawanaume walioweka avatar za wanawake?
SWALI: JE HAWA JAMAA WANA TABIA ZA KIKE PIA
MICHANGO: NAOMBA TUORODHESHE MAJINA YAO HAPA ILI WABADILI HIZO AVATAR ZAO
tatizo liko wapi?na wenye avatar za nyani?
 
Back
Top Bottom