thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,856
Hujui kudanganya mkuu,Dangote clement ndo mgogo wa wap huyu?Sad!!!!Ngoja siku nidanganye dangote
Clement mali yangu nitaleta mrejesho humu
Hujui kudanganya mkuu,Dangote clement ndo mgogo wa wap huyu?Sad!!!!Ngoja siku nidanganye dangote
Clement mali yangu nitaleta mrejesho humu
Selling manifesto,anotha gear I've learnt .Tatizo lenu masista duu na wadada wengi wanampenda MTU kwa muonekano wake kitu ambacho sio sahihi.
Kaa na MTU umsome kwa muda utamfahamu tuu na home kwa MTU panajulikana. Mnawafose vijana wawadanganye.
Huwa naishi kawaida sana kimuonekana kiasi watu washawahi niuliza mara kadhaa kuwa kaka upo simple kiasi tunashindwa kukusoma.
Wadada kibao washawahi kuja kwangu na walishangaa sanaaa ila mmoja alijikuta ananiambia kuwa mbona nje upo simple kumbe unakaa pazuri hivi aiseee daaah sikuamini.
Nikamwambia kuwa that's who I'm

......."will have your path with us" umejitahid but it should be you not us.Tatizo unaweza kuta mtu amekupenda lakini wewe umejiweka level fulani ya juu kwahiyo ili akupate lazima atapretend kuwa na yeye ni wa level hiyo uliyoko au hata amekuzidi hata kama itamlazimu kwenda kuazima nguo,perfumes,gari,ghetto and all accessories ambazo lazima akupate.So you girls/women stop pretend being classic and we men/boys will have your path with us 😀😀😀😀😀
Ninyi mnapenda wanaume wa namna hiyo nikikwambia ukweli kwamba mimi nalima mahindi huko kijijini Muharamba unaniona mshambaAlaa unakuta mwanaume ameupala anang'aa mtaani, safari zake mliman city na mbezi Mbezi,
Kumbe nguo zenyewe kaazima,
Kama ni gari nalo kaazima ni mambo ya aibu mno,
Hasa kuna wale wahongo kama nini sijui, ooo Mimi Nina iki Mara kile, ooo Mara baba yangu sijui ni nani,
Ooo namiliki maduka ya hardware kumbe mnawekwa mjini na masugar mamy, mnasimamia tu ,
Funguo ya kitasa unapokaa inakutu vitasa vyenyewe mpaka unyanyue mlango makubwwa,
Ooooo baby nakupenda sijui nitakununulia kiwanja, we Mwenyewe huna godoro mxhiuuuu!!!!
Mbaya zaidi na chumba hujapanga wewe unawadanganya wasichana kwamba ni kwako kumbe huna hata kwako, unaazima kupigia dyudyu tu,
Wasichana amkeni ukiona mwanaume wako anakupeleka sehem anasema kwake anaishia sebuleni we ingia chumbani kwa nguvu , toa mashuka na nguo jifanye utayafua, au jifanye unasalimia majirani ,kijasho lazima kimtoke,
Eti Nina hela wakati hata simu anaazima,
Analeta ATM card kuonesha kumbe zime expire mwaka juzi, na anasema ni ya NMB wakati ni ya KCB![]()
![]()
![]()
![]()
OOO BABY NINATAKA MWAKANI NIKUOE YAAN HAMNA SONI
TAFTENI HELA ACHA HABARI ZA KIJINGA,
Hahahahahah hamna mkuu najaribu kumuweka sawa huyo msweet manka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
we jamaa hii ni lyrics au?
Maana kama unatembea na beats za mkali Dre wa kuitwa Dr.
wahongo ---> waongowahongo
Hahahah we mjamaa umewaza mbali dahHahahaaa wanapenda Pesa mno,
Nakwambia kama nyani na ngedere wangekuwa na pesa bila shaka kuna wasichana wangekuwepo msituni mida hii wakifanya yao
Aisee hii ni hatari mno na kiukweli wanawake wenye uwezo wa enzi zile waliumizwa sana. Nina anko wangu ndio ilikuwa michezo yake kuwadanganya mademu wazuri wenye pesa. Alikuwa handsome and biggie kama kina fatjoe plus anajua mapigo enzi za ma fubu, coogi and dada! Masuti makali, inshort kuvaa viwalo vya laki 8 mpaka M haikuwa ishu na shopping anafanyia posta sio ushenzini utamtaka yani. Hapo ndipo watoto wakike walikuwa wanakolea na confidence alionayo ni ya kutotia shaka kwa lolote.Wakongomani waliwatafuna sana dada zetu mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000, jamaa walikua wanatembea na mabulungutu ya dollar fake. Sasa wakati wa ku clear bill Mkongomani anatoa wallet au bunda la dollar, demu anaambiwa hakuna change Cherie tutapitapo ku bureau de change wee lipa, kwa hiyo mwanamke analipa na kumhudumia jamaa kwa matumizi mengine hata wiki mbili, sasa mgeni akisharudizake Mbunji Mayi au Lubumbashi ndio Cherie anazinduka na kilio cha kuachiwa makaratasi na kesi juu!
Mkuu sio hivyo tu unakuta wanajazana mlimani city kama vile wanafanya shopping kumbe maigizo tu, ukimtoa out anataka ale piza wakati kwao kaacha viazi na mihogo. Swaga nyingi kumbe vimeo tu.Bila kusahau na ninyi pia ni fake,
kucha feki
kope kama kofia ya peter manyika ................feki
kalio............................................................feki
Nywele.........................................................feki
Bikra............................................................feki
love ............................................................feki
Acha tuazime tu, maana it's not worth kutumia jasho halali kwenye fake zones.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀