Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

yaani ni uwongo mwanzo mwisho akija shtuka kasha chanuliwa mara 5 hata hamu ya kubana tena hana unabaki unajipigia kama mbwa koko hahahahhaha leo raha sana dadeq utakuta aliacha watu wa maana akamuamini yahaya hakuna namna hahahahaha
Ndio inavyokuwaga, anamsaliti anayempenda kweli kwa tamaa za kijinga af anaishia kuchezewa tu
 
Umeliwa kwa mkopo
Pole mkuu maisha ndo yako hivyo nawe mtafute fala umuingize mjini.
 
Ehbhana ee...yani sijui huwa kosa linakuwaga nini, ukifunguka uhalisia utaishia kupewa asante kwa kunipenda ila nna mtu wangu. Mwishowe mesej hajibu wala simu hapokei anakuona msumbufu tu.

Ila ingia na gia za kifaza zile uone maisha yalivyo simple, kimjinimjini umekamata brevis safi kwa mwamba mara paap mtoto anakula lift na analimwa sound za kiutu uzima taratibu ndani ya kiyoyozi na mziki laini. Ukimshusha na namba kakuachia ni kuchombezana week nzima ikifika weekend mtoto kaiva analilia kuileta mwenyewe. Unatafta ghetto safi au lodge unaenda weka! Game over!
Mtawapata hao wa sinza' tu
 
Huyo atakuwa mjinga sana hunili kwa gari
mjinga tena na wakati ndo ukweli wenyewe nyie waga mnaangalia ni gari yenye plate namba gani iliyokubebe au anayoendesha mwanaume!!!!

sasa kwa mfano kwa hapa mwanza nikupate harafu nikwambie twende mabatini ndo nakoishi utakubali!!

lazima nikwambie twende bwiru, kapli pointi, kiseke nk
 
Huyo atakuwa mjinga sana hunili kwa gari
Acha izoo chaurembo, njoo u cruise kwenye jeep grand cherokee limited edition ya 2015 uone kama chupi haivuki hio. Sidhani kama unaijua hii mashine vizuri kuna waliobana ila hawakufua dafu! Y.O.L.O
 
Mie huwa hata akijisifia vipi sijali, cha muhimu wakati tunatongozana huwa namuangalia 'FLAIZI" yake ina urefu kiasi gani, baassi, nataka nipate maximum satisfaction kwenye "machezo" hata asiponipa hela ni sawa tu
 
Mie huwa hata akijisifia vipi sijali, cha muhimu wakati tunatongozana huwa namuangalia 'FLAIZI" yake ina urefu kiasi gani, baassi, nataka nipate maximum satisfaction kwenye "machezo" hata asiponipa hela ni sawa tu
Sasa mwingine hata hizo flaiz Hana , anadanganya tu
 
Sio kosa letu kosa ni nyie kupenda vya gharama,, eti mtu haukubali bila kuonyeshwa gari au cards za benk na ukienda gheto eti uone kuna sofa Kali na kitanda,,, Endeleeni kupenda ivo sisi tupo ki maslahi ni wapitaji tu,, ndo nyie unashangaa miaka inaenda huolewi ndo unaanza maombi kuomba upewa mume nani kakwambia mume anakuja kwa maombi?
 
Halafu hawa waongo wasio na kitu ndio wanawakaza kwelikweli
Na mwaka huu watawakaza sana tu mje kulalamika humu
Wakongomani waliwatafuna sana dada zetu mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000, jamaa walikua wanatembea na mabulungutu ya dollar fake. Sasa wakati wa ku clear bill Mkongomani anatoa wallet au bunda la dollar, demu anaambiwa hakuna change Cherie tutapitapo ku bureau de change wee lipa, kwa hiyo mwanamke analipa na kumhudumia jamaa kwa matumizi mengine hata wiki mbili, sasa mgeni akisharudizake Mbunji Mayi au Lubumbashi ndio Cherie anazinduka na kilio cha kuachiwa makaratasi na kesi juu!
 
Back
Top Bottom