Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Bila kusahau na ninyi pia ni fake,
kucha feki
kope kama kofia ya peter manyika ................feki
kalio............................................................feki
Nywele.........................................................feki
Bikra............................................................feki
love ............................................................feki

Acha tuazime tu, maana it's not worth kutumia jasho halali kwenye fake zones.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mpe pole jaman huyo ndugu yetu, alipewa hopes za uongo, "Lakini Kila Mmoja, hujaribiwa, na tamaa zake mwenyewe na kudanganywa" Asingekuwa na tamaa asingesikiliza huo uongo, ila ni tabia mbaya sana kwa wanaume, ila wadada nao wanaonyesha sana wanapenda pesa wakati mwingine!
Hii style tamu sana, ukijitera tu mkojo
 
Hawaelewagi hawa, bila kuwa mtu wa kabobo unayeweza jenga ghorofa kwa mdomo huwali hawa. Utaishia kupotezewa tu! Nahisi kuna ka uchawi flani nyoka aliwaachia toka enzi za eden.
yaani ni uwongo mwanzo mwisho akija shtuka kasha chanuliwa mara 5 hata hamu ya kubana tena hana unabaki unajipigia kama mbwa koko hahahahhaha leo raha sana dadeq utakuta aliacha watu wa maana akamuamini yahaya hakuna namna hahahahaha
 
Mlimani city ndio wapi? Nawewe ukome kushobokea wavulana wa DSM unatuacha wanaume halisi tuko mikoani kama unabisha hebu angalia wanaume wa4 kutoka mikoani tumewatuma waje wawaendeshe hao wavulana wa DSM[emoji5] [emoji5] (makonda) (magufuli) (king kiba) (diamond) hao wanne tulio watuma huoni wanavyo wanyoosha wavulana wa DSM [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mimi nampa heshima huyo jamaa maana nyie mwanaume akisema ukweli ataishia kuwaita shemeji tu.

lazima tuwanyooshe na hivi ungle Magu karahisisha mambo.
 
Mambo real si ndio mwisho kuja kuanikana humu. Tatizo real huwa hamuwakubaliagi mnataka wale wanaofurahisha masikio yenu kwa fantasies za ghafla.
mkuu hawa viumbe bila kununua gari kwa mdomo hawaendi.

Na hivi hawajui hii ni gari ya,
STL
STK
DFP
UNHCL
SU nk.
watakuwa wanashutukia wameshalia mapema jamaa anamuachia ya nauli.
 
Mlimani city ndio wapi? Nawewe ukome kushobokea wavulana wa DSM unatuacha wanaume halisi tuko mikoani kama unabisha hebu angalia wanaume wa4 kutoka mikoani tumewatuma waje wawaendeshe hao wavulana wa DSM[emoji5] [emoji5] (makonda) (magufuli) (king kiba) (diamond) hao wanne tulio watuma huoni wanavyo wanyoosha wavulana wa DSM [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
🙂🙂🙂 jinga sana
 
Sio kwa hasira hizo! Nani huyo alileta janjajanja? Lakini ungeenda extra mile ungemjua tu tapeli, tatizo wanawake wengine wanakua obsessed na vitu bila kutaka kujiuliza maswali magumu
 
mkuu hawa viumbe bila kununua gari kwa mdomo hawaendi.

Na hivi hawajui hii ni gari ya,
STL
STK
DFP
UNHCL
SU nk.
watakuwa wanashutukia wameshalia mapema jamaa anamuachia ya nauli.
Huyo atakuwa mjinga sana hunili kwa gari
 
Hahaha we siyo real
kisa nini mama au kuna shoga zako washakuambia mengine wewe njoo huku kwetu namtumbo tuanze maisha achana na vijana wa dasalam wanakuchezea tu kwangu utacheza mwenyewe
 
mimi nampa heshima huyo jamaa maana nyie mwanaume akisema ukweli ataishia kuwaita shemeji tu.

lazima tuwanyooshe na hivi ungle Magu karahisisha mambo.
Ehbhana ee...yani sijui huwa kosa linakuwaga nini, ukifunguka uhalisia utaishia kupewa asante kwa kunipenda ila nna mtu wangu. Mwishowe mesej hajibu wala simu hapokei anakuona msumbufu tu.

Ila ingia na gia za kifaza zile uone maisha yalivyo simple, kimjinimjini umekamata brevis safi kwa mwamba mara paap mtoto anakula lift na analimwa sound za kiutu uzima taratibu ndani ya kiyoyozi na mziki laini. Ukimshusha na namba kakuachia ni kuchombezana week nzima ikifika weekend mtoto kaiva analilia kuileta mwenyewe. Unatafta ghetto safi au lodge unaenda weka! Game over!
 
Pole sana mdogo wangu pia nikupe siri ukitaka uishi kwa amani usitilie manani kila unachokiona kutoka kwa hao viumbe kwa sababu unaweza wehuka bure. Walio wengi ni waigizaji tena waigizaji kweli kweli.

Hivyo wazowee tu na akili kichwani mwako pia..
Viumbe wa ajabu
 
Back
Top Bottom