Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Tena bora umekuta na huyo, mim ningekuambia kabisa nimeteuliwa baraza la mawaziri, alafu nawa set wapambe wangu wawili kazi yao kubwa ni kukufanyia sapraizi kwa kuniita jina tu la mteule mmoja wa raisi [emoji23][emoji23].

Tatizo mnapenda 'material things' sana. Sasa ngoja tuwakomeshe.
 
Wakongomani waliwatafuna sana dada zetu mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000, jamaa walikua wanatembea na mabulungutu ya dollar fake. Sasa wakati wa ku clear bill Mkongomani anatoa wallet au bunda la dollar, demu anaambiwa hakuna change Cherie tutapitapo ku bureau de change wee lipa, kwa hiyo mwanamke analipa na kumhudumia jamaa kwa matumizi mengine hata wiki mbili, sasa mgeni akisharudizake Mbunji Mayi au Lubumbashi ndio Cherie anazinduka na kilio cha kuachiwa makaratasi na kesi juu!
Hahahaaa wanapenda Pesa mno,
Nakwambia kama nyani na ngedere wangekuwa na pesa bila shaka kuna wasichana wangekuwepo msituni mida hii wakifanya yao
 
Tatizo lenu masista duu na wadada wengi wanampenda MTU kwa muonekano wake kitu ambacho sio sahihi.
Kaa na MTU umsome kwa muda utamfahamu tuu na home kwa MTU panajulikana. Mnawafose vijana wawadanganye.
Huwa naishi kawaida sana kimuonekana kiasi watu washawahi niuliza mara kadhaa kuwa kaka upo simple kiasi tunashindwa kukusoma.
Wadada kibao washawahi kuja kwangu na walishangaa sanaaa ila mmoja alijikuta ananiambia kuwa mbona nje upo simple kumbe unakaa pazuri hivi aiseee daaah sikuamini.
Nikamwambia kuwa that's who I'm
 
Povu la nn sasa kama umeliwa bure tulia acha povu bibie
 
Tatizo unaweza kuta mtu amekupenda lakini wewe umejiweka level fulani ya juu kwahiyo ili akupate lazima atapretend kuwa na yeye ni wa level hiyo uliyoko au hata amekuzidi hata kama itamlazimu kwenda kuazima nguo,perfumes,gari,ghetto and all accessories ambazo lazima akupate.So you girls/women stop pretend being classic and we men/boys will have your path with us 😀😀😀😀😀
 
Pole sana. Kwa povu hili inaonekana ulimshobokea jamaa kwa vile ana gari flan. Baada ya kukumega ndio ukajua kumbe jamaa gari lenyewe la kuazima...
 
Acha izoo chaurembo, njoo u cruise kwenye jeep grand cherokee limited edition ya 2015 uone kama chupi haivuki hio. Sidhani kama unaijua hii mashine vizuri kuna waliobana ila hawakufua dafu! Y.O.L.O
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa hii ni lyrics au?
Maana kama unatembea na beats za mkali Dre wa kuitwa Dr.
 
Back
Top Bottom