Masweeter
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 231
- 633
- Thread starter
- #121
KabisaPole sana mdogo wangu pia nikupe siri ukitaka uishi kwa amani usitilie manani kila unachokiona kutoka kwa hao viumbe kwa sababu unaweza wehuka bure. Walio wengi ni waigizaji tena waigizaji kweli kweli.
Hivyo wazowee tu na akili kichwani mwako pia..