Wanaume wengine washamba tu kuazima azima vitu

Alaa unakuta mwanaume ameupala anang'aa mtaani, safari zake mliman city na mbezi Mbezi,

Kumbe nguo zenyewe kaazima,
Kama ni gari nalo kaazima ni mambo ya aibu mno,

Hasa kuna wale wahongo kama nini sijui, ooo Mimi Nina iki Mara kile, ooo Mara baba yangu sijui ni nani,

Ooo namiliki maduka ya hardware kumbe mnawekwa mjini na masugar mamy, mnasimamia tu ,

Funguo ya kitasa unapokaa inakutu vitasa vyenyewe mpaka unyanyue mlango makubwwa,

Ooooo baby nakupenda sijui nitakununulia kiwanja, we Mwenyewe huna godoro mxhiuuuu!!!!

Mbaya zaidi na chumba hujapanga wewe unawadanganya wasichana kwamba ni kwako kumbe huna hata kwako, unaazima kupigia dyudyu tu,

Wasichana amkeni ukiona mwanaume wako anakupeleka sehem anasema kwake anaishia sebuleni we ingia chumbani kwa nguvu , toa mashuka na nguo jifanye utayafua, au jifanye unasalimia majirani ,kijasho lazima kimtoke,

Eti Nina hela wakati hata simu anaazima,

Analeta ATM card kuonesha kumbe zime expire mwaka juzi, na anasema ni ya NMB wakati ni ya KCB [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

OOO BABY NINATAKA MWAKANI NIKUOE YAAN HAMNA SONI

TAFTENI HELA ACHA HABARI ZA KIJINGA,
pole sana mkuu

Hivyo vitu tafuta vya kwako, wanaume hutatuelewa kwa style hiyo
 
POLE NAONA WAMEKUKWAZA, SASA INGEKUWA FAIR NA YEYE AKAYALETA YA KWAKO HAPA, JINSI AMBAVYO UNAMPIGAGA MIZINGA ...
 
Mwanaume mzuri ni Yule mkweli
mademu wa mjini wanajikutaga wakishua ni ngumu sana kwenda kumgegeda huko tegeta kwa ndevu...sasa kwa nn nisiazime geto kwa masela wa masaki...ukileta ujuaji kwangu utaambulia sera zakutosha
 
Hahahahahahahaha, mwendo wa mabadilikooo..!!!
 
mademu wa mjini wanajikutaga wakishua ni ngumu sana kwenda kumgegeda huko tegeta kwa ndevu...sasa kwa nn nisiazime geto kwa masela wa masaki...ukileta ujuaji kwangu utaambulia sera zakutosha
Hehe
 
Kwanza siyo wa kwangu

Mpe pole jaman huyo ndugu yetu, alipewa hopes za uongo, "Lakini Kila Mmoja, hujaribiwa, na tamaa zake mwenyewe na kudanganywa" Asingekuwa na tamaa asingesikiliza huo uongo, ila ni tabia mbaya sana kwa wanaume, ila wadada nao wanaonyesha sana wanapenda pesa wakati mwingine!
 
hakuna raha huwa napata kama nikiona/nikisikia gal kaliwa kwa kuamini lijamaa flani.

yaani ukiwa mstaarabu, mkweli kupenya mbunye ni kwa huruma ya gal, ila mwongo mwongo, sopu sopu utazitandika kinyama.

hahahh jamaa huko ulipo asante sana.
 
Hawaelewagi hawa, bila kuwa mtu wa kabobo unayeweza jenga ghorofa kwa mdomo huwali hawa. Utaishia kupotezewa tu! Nahisi kuna ka uchawi flani nyoka aliwaachia toka enzi za eden.
 
Mwaka huu tutasikia na kuona mengi , Pole sana kwa kudanganywa .
 
Back
Top Bottom