Wanaume wengine ni malimbukeni wa kutongoza na mapenzi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
Leo kuna mwanaume alikuwa nje ya bank mara akamuona binti mzuri anatoka benki.

Akawa amempenda pale alipokuwa nje kulikuwa na gari nzuri toyota 4runner.jamaa akaanza kutongoza uku akiwa kaegamia ile gari na kujisifu ile gari ni yake na akahidi kumpa eti anazo nyingi.

Kumbe hiyo gari ni ya mwanamke mwenyewe anayetongozwa alikuwa ameipaki akaingia benki. Jamaa alikuwa hajui.

Baada ya kumaliza kutongoza na kutoa bznes card.binti akamwambia ebu nipishe akaingia kwenye gari yake na kutokomea. Jamaa akabaki na aibu tele.

Hivi ukimpenda mtu ni hadi ujisifie mali za uongo. Je ukisema ukweli hautopendwa?
 
....

...ohhh mimi ni dereva wa ndege KLM pia meli zamani nikiwa chuo huko Japan ..baba yangu yuko Japan ni katiya mafundi wa kuu wa toyota...mdogowangu wa mwisho yuko Hispania ana karabati nyumba ya Ronaldo ...Messi alimpigia simu kwamba amevutiwa na kazi yake nzuri...

shule za boarding ni muhimu sana.....

......
 
Leo kuna mwanaume alikuwa nje ya bank mara akamuona binti mzuri anatoka benki.

Akawa amempenda pale alipokuwa nje kulikuwa na gari nzuri toyota 4runner.jamaa akaanza kutongoza uku akiwa kaegamia ile gari na kujisifu ile gari ni yake na akahidi kumpa eti anazo nyingi.

Kumbe hiyo gari ni ya mwanamke mwenyewe anayetongozwa alikuwa ameipaki akaingia benki. Jamaa alikuwa hajui.

Baada ya kumaliza kutongoza na kutoa bznes card.binti akamwambia ebu nipishe akaingia kwenye gari yake na kutokomea. Jamaa akabaki na aibu tele.

Hivi ukimpenda mtu ni hadi ujisifie mali za uongo. Je ukisema ukweli hautopendwa?

mnaiharibu JF kwa uongo bana
 
Tatizo wasichana wenyewe ndo wanaweka mzingira hayo soku hizi
 
Uongo mwingine bwana..!!
Wewe ulikua wapi mpaka ukione kisa na Ukasikia hadi walivyokua wakiongea??
Kama na wewe ulisimuliwa basi jua kuna clip yake ila tofauti ni hapo ulipoweka mazingira ya wao kukutana nje ya bank na kutoa business card.
 
umekopi kichekesho cha Ann kansiime....acha hizo wewe muuza sura
 
Uongo mwingine bwana..!!
Wewe ulikua wapi mpaka ukione kisa na Ukasikia hadi walivyokua wakiongea??
Kama na wewe ulisimuliwa basi jua kuna clip yake ila tofauti ni hapo ulipoweka mazingira ya wao kukutana nje ya bank na kutoa business card.

Huwezi jua labda alikuwa anachukua notes za "mtongozo"
 
Back
Top Bottom