WANAUME WENGINE hatupendi wanawake WANAPOJICHORA INA mwilini.

Teh teh teh no comment..makombora jamaa anayapata..jamani msameheni si kasema tu..
 
Frankly speaking,baadhi yetu wanaume hatupendi ile michoro mieusi inayonakishishiwa kwa ina kuchora maua mikononi na mpaka miguuni,natambua kwa wengine ni urembo lakini wengine hatuifurahii kabisa tofauti na mategemeo ya watumiaji,unamkuta msichana mrembo sana mtoto white alafu anajiharibu kwa hiyo ina,wengine weusi wanapaka hiyo rangi iliyo na weusi yaani badala ya kuwa mrembo zaidi inakuwa kinyume chake.

Na wao hawapendi wasiopenda hina.

Kuna mmoja alikubaka?

Kama hujabakwa why should this be an issue?

Mimi sifagilii sigara. Lakini siwezi kubwatuka hapa JF kwamba sipendi mwanamke anayevuta sigara.

Where is the ground for that?

Unatangaza kutafuta mchumba hapa JF na hivyo wapakao hina wasitume maombi?
 
Nilikuta wife amejichora.... mbona alioga pipa la maji hadi ikafutika..
 
Hinna ni sunna kwenye dini ya uislam ndugu yangu Mshinga naona unayavalia njuga mambo si yako.Ni sahihi kusema vile unavyojisikia lakini uweke akilini kwamba kuna chanzo cha kila kitu na kile ambacho wewe hakikuvutii ni kivutio chaajabu kwa mwengine!Hinna ikipakwa yenyewe bila kuchanganya na pikko inapendeza sana wallahi!
hinna-198_l.jpg
 
Na wao hawapendi wasiopenda hina.

Kuna mmoja alikubaka?

Kama hujabakwa why should this be an issue?

Mimi sifagilii sigara. Lakini siwezi kubwatuka hapa JF kwamba sipendi mwanamke anayevuta sigara.

Where is the ground for that?

Unatangaza kutafuta mchumba hapa JF na hivyo wapakao hina wasitume maombi?

I will not argue with this nasty.
 
Hizo ni tamaduni za pwani wewe lazma utakua wa bara tu,na hata wao wa pwani kuna tamaduni zenu hawazipend ila ndo tuvumiliane.
Atakuja mtu atasema hapend mwanamke aliekeketwa na mwingine atasema hapend mwenye crit. ..ndefu kumbe kuna makabila huko bara wanakivuta toka yuko mdogo so issue zingine zimelizie kijiwen sio jf
 
Mkuu mbona unatuchanganya? Huu ni utamaduni wa Pwani ama ni wa kidini?
 
Huo ni utamaduni wa Pwani nenda Tanga mjin,Lindi mjini,kilwa,Mikindani,Mtwara mjini,bagamoyo,mafia,pangani hadi wakristo wanapaka hina
 
Kwa hiyo asili yake ni Pwani? Ingawa sijawahi ona waristu waliopaka piko, hina hata mikoani hupakwa tangu kale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom