THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,887
- 15,291
Here I am.
See the difference?
wewe ni wewe
na mimi ni mimi
hakuna mfanano wowote hapo
usigeuke mung'unya kuharibikia ukubwani bwanaa...
eeeeeh...
kwaheriii...
:flypig:
Here I am.
See the difference?
Aisee kwa nini umeamua kujiita BwaNCHUCHU? Hukudhani kwamba italeta mambo ya mistaken identity?
Manake mapema leo ulisababisha watu wakaanza kupigana na upepo....
kwanin nawewe unataka??
basi chukuaa....
Ukiutaka huu ule huuwezi utachoka miguu kwa utembezi. Chekinabe!
tende na haluwa Tamu nini??...
:israel: :israel:
Ramba zote hafu unambie....
Matatizo mbali mbali ya kimaisha tunayo kabiliana nayo sisi, pia wanawake kwa namna moja au nyingine nao wanakabiliana nayo pia. Tunajisahau pale tunapokuwa kwenye mahusiano huwa tunawapush sana pale mwanamke anapo kuwa aja respond.
Wanawake mara nyingi nao wanapitia katika personal issues ambazo azilingani na mwanaume. Mwanamke pia mda mwingine anakuwa hayupo katika good mood.
Usimpushi, tabasamu na usiwe na hasira au kumtukana kwa namna yeyote ile.[/QUO
muaaaaah! hili nalo nenooooooo
ok ok nimejua kwanini i wont interfere
hongera miss neddy wanywani weye?
We si unamjua Bwa'Nchuchu (note the apostrophe)?
Sasa huyu bwana yeye kajiunga jana na akaamua ajiite BwaNCHUCHU (note the uppercase letters).
Sasa leo nimeamka nakuta notifications kibao. Kuziangalia naona mitusi na kashfa tu...aah sijui we NN huna lolote mbeba maboksi tu, mtawaza vizee, sijui una upweke sana....
Hata sikuelewa kinachoendelea. Kufanya uchunguzi zaidi ndo nikaona kumbe jamaa naye anajiita BwaNCHUCHU (kama alivyo alter ego wangu) na alikuwa anarushiana maneno na Matola.
Na Mat kwa vile alikuwa kashapandisha mzuka wa ghadhabu hata hakuchukua muda wake vizuri kuangalia anayejibizana naye ni nani. Yeye aliona tu BwaNCHUCHU basi akadhani ndo yule yule wa siku zote, kumbe wapi, yupo mwingine mpya.
Mjini hapa waweza kumwagiwa tindikali huna hata hatia kisa tu mtu kakufananisha na mbaya wake.
Matatizo mbali mbali ya kimaisha tunayo kabiliana nayo sisi, pia wanawake kwa namna moja au nyingine nao wanakabiliana nayo pia. Tunajisahau pale tunapokuwa kwenye mahusiano huwa tunawapush sana pale mwanamke anapo kuwa aja respond.
Wanawake mara nyingi nao wanapitia katika personal issues ambazo azilingani na mwanaume. Mwanamke pia mda mwingine anakuwa hayupo katika good mood.
Usimpushi, tabasamu na usiwe na hasira au kumtukana kwa namna yeyote ile.
Huu uzi autendewi haki. kweli MMU ya miaka miwili nyuma tofauti na sasa.
umeongea vema ila kuna kabila flani wanasema mwanamke bila kuzabwa vibao angalau mara moja kwa siku haoni kama anapendwa!!! hapo vipi? kweli jamani muwe tu mnatutabasamia, si mnajua wanaume sura zenu zilivyo!!