Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Kweli inabidi wanaume mbadilike! Hivi unapokutana na mwanamke mzuri kapendeza unapata mawazo gani kichwani hadi kufikiria kumtongoza au hata kuomba namba? Hivi unafikiri yupoyupo tu hana mpenzi/boyfriend/mume? Wengine wanakutana na wanawake wastaarabu anaambiwa kabisa mi nina mume lakini waaapi! Hebu badilikeni wanaume mtakujaomba namba za majini afu chamoto mkione!
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
Nani huwa anaomba namba?
Siku iyoiyo ya kwanza mwanaume akipewa papuchi anazama chumvini hushangai hilo?

nimepoteza simu so namba yako siikumbuki embu nipe tena namba yako
ebu weka picha yako tuone kama unafaa kuombwa namba siku ya kwanza.
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
jini akijigeuza mwanamke lazima atakuwa ana shida na wanaume huyo.
endelea kunisololea mpaka 2017 ndo nitakupa.
Siku iyoiyo ya kwanza mwanaume akipewa papuchi anazama chumvini hushangai hilo?
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
He! wewe bado uko analojia, siku hizi ni digitali mpenzi. Unatoa na wewe unapewa. Biashara ya kudanganyana ni ya kizamani. Kwani wewe unaishi mkoa gani.
Aiseeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
Sa huo ndo mwanzo wa kujuana shosti au umesahau kuwa ni Urafiki, uchumba kisha ndoa.
hehehe, mie nasomeka sana wewe nadhani unahitaji mawani.
nna hasira na wewe, si uliniambia utanipeleka sokon one nikatembee na kuangalia utalii? unapata dhambi ujue