Mwanamke ukishakuwa na bei watu wakapanda umeisha, Mimi hununua jinsi kali na kuipenda siku ile ile inapokuwa dukani nikivaa mara moja thamani yake inaporomoka kama hela ya malawi.Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!
tili wa kihisia!
Utakuwa hujaipenda bali uliitamani.Mwanamke ukishakuwa na bei watu wakapanda umeisha, Mimi hununua jinsi kali na kuipenda siku ile ile inapokuwa dukani nikivaa mara moja thamani yake inaporomoka kama hela ya malawi.
Mbona inaeleweka sana!Hueleweki
Hakuitwa. Alijipeleka mwenyewe.Na wewe umesahau ukatili wa kijinsia uliomfanyia jamaa yetu hivi majuzi?
Umemuita mpaka ghetto kwako alafu ukaishia kumnyima mbususu? Unajua maumivu aliyoenda nayo jamaa yetu?
Upigwe matukio mpaka ukome.
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!
Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka mahusiano na mwanamke. Mwanamke anaweza asiwe tayari kutokana na sababu mbalimbali lakini mwanaume anaweza kutumia mbinu za ushawishi ili awe na huyo mwanamke.
Baada ya muda mwanamke anaamua kukubalia kuwa na mahusiano na huyo mwanaume. Ni jambo la kawaida kwasababu za kimaumbile, si rahisi kuishi peke yako siku zote.
Cha ajabu ni kwamba baada ya muda kupita, mwanaume yule yule aliyetumia kila aina ya ushawishi kumpata mwanamke aliyemhitaji, anaanza kumdharau, kumtesa na pengine hata kumsimanga kwa yale aliyomfanyia. Mfano pesa, mtaji wa biashara nk. Huu ni ukatili.
Mwanaume unapoamua kumshawishi mtu kwa namna yoyote ile, inabidi ujiandae kwa matokeo utakayoyapata! Usianze kulalamikia pesa au mali ulizotumia kwa ajili yake. Huo ni ukatili wa kihisia!
Kwa nini msingetumia kinga? Kimoja tu cha afya?Hakuitwa. Alijipeleka mwenyewe.
Isitoshe ni mbishi. Anaambiwa kupima afya hataki. Na wakati ni mtu na mke wake na bado ana wengine wengi.
Ukiombwa pesa then ukalalamika huo ni ukatili.Kama naanza kukuelewa vile, ila sijapata kujuwa ukatili wa mwanaume uko wp!! please explain in detail ๐๐๐๐