Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

Ingawa usafi ni muhimu ila kila mtu ana namna yake katika mapenzi,wengine wakipata wapenzi wachafu hufurahia,kuna mwanamke aliwahi niambie kuwa harufu ya kikwapa ya mpenzi wake humdatisha zaidi kuliko chochote.

Inaitwa 'NATURAL ODOO'
 
Tabia ingine ya wanaume kujifanya hamjali mnapotumia vyoo va kukaa na kurusha makojo yenu sehemu ya kukalia inaboa sana hivi hamjui kuwa wengine hukalia basi ni busara mnapotumia vyoo vya kukaa msisimame na nyie mkae mmezidi ahh kuosha hamuoshi na bado vyoo mnachafua tena ukute mtu kapiga mapombe harufu ni kaliii kama kiwanda cha madawa loohhh badilini tabia

We unakaa wapi? Manake unachoongea si tabia ya wanaume, bali ni tabia ya watu wachafu. Njoo Survey uone wanaume wanavyoishi. Huko Tandale unakoishi hizo ndio tabia zenu sasa ulitegemea wanaume wapate ustaarabu upi? Halafu jiangalie na ushauri wako huo, mwanaume anakojoa kwa namna mbili:
1. Akiwa amesimama
2. Akiwa amelala juu ya mtu

Vinginevyo ni kikojozi.
 
wewe ndo wale wa boksa wiki huna jipya

Vinginevyo ni kikojozi.

wewe ndo wale wa kuvaa boksa wiki huna jipya
 
Ukiufuata Uislamu hayo yote hayatakukuta,kuanzia govi hadi kukojoa bila ya kunawa,na wadada wanaita kwa kunukia wakati wote,kitu inaoshwa kwa warm water!
 
wewe ndo wale wa kuvaa boksa wiki huna jipya

Angalau sasa umeshajua kuwa harufu inaletwa na kuvaa nguo ya ndani wiki nzima na sio kutonawa wakati wa kukojoa. Kwa hiyo mwambie huyo jamaa yako anayenuka anunue chupi zingine mbili tatu ili awe anabadili na anapokojoa akojoe bila kujichafua.
 
mueleze huyo mshiranga

Amueleze nini sasa, na wewe ndio wale wale vicheche.

Huyu kiruka njia mwenzio ameambiwa tangu awali na wanaume wenye akili zao kuwa shida ya hao mabwana zake ni kwamba hawafui chupi zao, bado kakazana weeee mkojo mkojo. Hata jasho linanuka vibaya sana kama chupi inavaliwa kwa kurudiwa. Au mnafikiri na wanaume wana tundu pana lenye mikunjo mpk lifiche mkojo?

Hawa wanayeongea naye ndio wanampa kichwa. Jibu hapo awaambie hao mabwana zake wafue chupi na sio kutuletea lecture za maumbile hapa
 
wewe ndo wale wa kuvaa boksa wiki huna jipya

Sasa hili ndio tatizo la huyo mume wako wa Tandale anayefanya usijue pa kuanzia mpk unaropoka usiyoyajua. Mwambie afue hilo chupi lake. Na inaelekea unafanywaga na walevi ambao wanajikojolea kwenye nguo sasa kwa kuwa hujawahi kutembea na mwanaume wa maana unadhani wanaume wote wako hivyo.

Fueni hiyo michupi yenu, wewe na huyo mwanaume wako anayekunywa mipombe ya kienyeji mpaka anajikojolea
 
Hapo kwenye bold ndio hasa tatizo la wanaume wake. Sasa yeye anadhani wanaume wote tuko hivyo. Atakuwa anauza baa huyu, sasa anafikiri wanaume wote wananukia kama hao wateja wake
 
Achaguage wanaume wa kutembea nao. Huko chini hakujanyolewa tangu krismass ya mwaka 2010, chupi haifuliwi huku maisha ni ya pilikapilika, asinuke. Yeye huyo kakazana tuu kukojoa kukojoa, anafikiri na sisi tuna mashimo? Pambaf! Mwanamke aiyeelewa namna hii ni tatizo. Aje kwangu aone jinsi navyohifadhi 'indungu syangu' kwenye hali ya ukavu mpk zenyewe zinaniaminia, eti mkojo!

Kwa heri bana, ngoja nikafue chupi zangu nisije kunuka kama hao shemeji zetu wa Tandale. Na wewe achana naye huyo kiruka njia hajawahi kuwa na mwanaume wa maana. Yeye mwenyewe inaonekana hapigi mswaki ananuka mdomo
 
Mmmh! Huko mimi sipo mkuu, mimi nitaendelea kumweleza mpaka aone umuhimu wa ile chupi yao wanayopokezana kufuliwa na huko chini kunyolewe ili kusinuke
 
Kwa imani ya kiislam kunawa ni lazima,kama kuna mtu hanawi basi atakumbana na adhabu kubwa sana kwa mungu,si kunawa tu hata kukojoa ukiwa umesimama si vyema,na kama maji yatakosekana ipo njia mbadala ambayo tumefundishwa
 
Yaaani kukojoa mpaka unanuka panapo sita kwa sita? huyo ni mgonjwa tena gonjwa la zinaa mshauri akamwone daktari,wengine wanagonga hiyo kitu na kuoga wasioge na wala hujui loooh!!!!!
 
Kwa imani ya kiislam kunawa ni lazima,kama kuna mtu hanawi basi atakumbana na adhabu kubwa sana kwa mungu,si kunawa tu hata kukojoa ukiwa umesimama si vyema,na kama maji yatakosekana ipo njia mbadala ambayo tumefundishwa

Wewe usilete vichekesho vya dini saa hizi. Kwa hiyo wewe unakojoa ukiwa umechuchumaa au unalala?

Hiyo njia mbadala ndio ile ya jiwe au mavumbi?
 
Amueleze nini sasa, na wewe ndio wale wale vicheche.

Huyu kiruka njia mwenzio ameambiwa tangu awali na wanaume wenye akili zao kuwa shida ya hao mabwana zake ni kwamba hawafui chupi zao, bado kakazana weeee mkojo mkojo. Hata jasho linanuka vibaya sana kama chupi inavaliwa kwa kurudiwa. Au mnafikiri na wanaume wana tundu pana lenye mikunjo mpk lifiche mkojo?

Hawa wanayeongea naye ndio wanampa kichwa. Jibu hapo awaambie hao mabwana zake wafue chupi na sio kutuletea lecture za maumbile hapa

Wewe hujui ulisemalo kakojoe ukalale usije ukakojoa kitandani na uhakikishe umeosha maeneo nyeti
 
Aaaaah! Ndio maana mimi michupi sivaagi!

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kigoda kwa hiyo yako iko Freeeeeeeeeeeeee kama ya masai. basi takuwa ndefu ajabu.maana jinsi unavyoiachia ndivyo inakuwa kubwa
 
Angalau sasa umeshajua kuwa harufu inaletwa na kuvaa nguo ya ndani wiki nzima na sio kutonawa wakati wa kukojoa. Kwa hiyo mwambie huyo jamaa yako anayenuka anunue chupi zingine mbili tatu ili awe anabadili na anapokojoa akojoe bila kujichafua.

Jina lako unalotumia tu linadhihirisha kuwa wewe unanuka mkojo, kama huwa hunawi, basi endelea na tabia yako. hapa tupo kuelimishana, kujuzana , na kushauriana, kama umeona linakugusa chukua hatua , ukiona halikufai achana nalo, lakini wewe umekalia kujibiza kwa maneno makali badala ya kujifunza.

Hata kama mtoa mada alikutana na mwanaume anayenuka asiseme? mbona nyinyi huwa mkikuta mwanamke ananuka mnakuja hapa jamvini kutushambulia adhiifu ni wanawake wote wanaonuka? kuwa na ustaarabu ukishindwa kuchangia kuwa mtazamaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom