Yaaani utakuta kamtu kembamba hatar ilakanang'ang'ania mdada mwenye bonge la wowowow, mpaka ukimwangalia na kupata picha kunako shughuli sijui inakuwajeDah Shantel umenichekesha sana. Yaani kuna rafiki yangu mmoja hana tofauti sana na avatar ya fidel kwa wembamba lakini ukweli totoz anazobeba yeye ni ile chakula ya Eltoro ati.
Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?
Hao watakuwa wanatafuta 'pakuponea'...sijui nisemeje
sababu za kimsingi zipo nyingi...............................ipo imani wembamba hao shaft zao ni kubwa na wanene nao mashine zao ni kubwa kwa hiyo wanarandana..........................lakini kubwa zaidi ni kuwa hisia za kutoshelezana.............................mnene huona akiwa na mwembamba watashibana................na kinyume chake..................................lakini penzi halina mipaka kwa hiyo usishangae kuona mizigo ikibebana.......................ukaanza kujiuliza hivi kuna kitanda kweli cha kuwabeba waheshimiwa hao......................................ubarikiwe Shantel..................
Umeshaielezea mwenyewe vizuri sana hapo juuufafanuzi wahitajika umeniacha kwenye mataa ya Ubungo......................."pakuponea" iko shida kidogo hapo...................
Hahahahaaaa inawezekana kwa kweli, sababu kama hakuna faida pale yule mdada bonge asingeganda kwa mtu mwembamba namna ile duuuuusababu za kimsingi zipo nyingi...............................ipo imani wembamba hao shaft zao ni kubwa na wanene nao mashine zao ni kubwa kwa hiyo wanarandana..........................lakini kubwa zaidi ni kuwa hisia za kutoshelezana.............................mnene huona akiwa na mwembamba watashibana................na kinyume chake..................................lakini penzi halina mipaka kwa hiyo usishangae kuona mizigo ikibebana.......................ukaanza kujiuliza hivi kuna kitanda kweli cha kuwabeba waheshimiwa hao......................................ubarikiwe Shantel..................
Ruta sioni thanks wala like
you've just spoken my mind
Hahahahaaaa inawezekana kwa kweli, sababu kama hakuna faida pale yule mdada bonge asingeganda kwa mtu mwembamba namna ile duuuuu
yaaani kwa kweli hawa naowajua mwanaume ni mwembamba kupitiliza...... na hii mzizigo inabidi ikachongeshe kitanda kwa mchomelea chuma loooo
umeonaee...hasa pale anaposema WENGI WAO...badala ya baadhi yao...swali,kama mwanamke alinenepa baadae,unaweza conclude hvyo.?unene si kama kichogo,huja wakati wowoteHiyo research yako inaukweli?
Umeshaielezea mwenyewe vizuri sana hapo juu
Thats exactly what i meant