Wanaume wazidi kuadimikia Wilayani Rombo

Daaah wiki iliyopita niliona part one ya hiki kipindi wiki hii sijajua part two itakua lini
kama itakuwepo na part two tu itakuwa safi sana, sababu nilikosa part one wiki iliyopita. wiki iliyopita kipindi kilirushwa jumatano, bila shaka na wiki hii kipindi kitakuwa kesho jumatano.
 
Mjiandae kuchomwa moto mkienda au kuchomwa visu.
Nunua Fire extinguisher kabisa.
Mkaruka vipi kwa wakenya ulipoenda jamaa kiswahili chao namna gani? hamna zile nyumba za mabati tupu kwao huko?
Mnaelewana ila kuna maneno wao wanatumia ambayo ni tofauti na sisi.

Mfano, nilipishana na Mkenya akasema HALAFU au Namna gani yaani nadhani alitaka kunisalimia VIPI ?

Mfanyabiashara wao wanaita Mwanabiashara.

Huku Rombo hata Radio zinasikika za Kenya hasa Milele fm na KCB.

Hivi karibuni mtoto wa Mramba ndio kaanzisha Radio huko Moshi inaitwa Radio Banana ndio imeojoa jahazi, inasikika vizuri huku.

Kuna maeneo mengine ya Rombo hata mitandao inaingiliana na ya Kenya.
 
Kesho nikakate ticket nipo tayar kwa safar😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
 
Mnaelewana ila kuna maneno wao wanatumia ambayo ni tofauti na sisi.

Mfano, nilipishana na Mkenya akasema HALAFU au Namna gani yaani nadhani alitaka kunisalimia VIPI ?

Mfanyabiashara wao wanaita Mwanabiashara.

Huku Rombo hata Radio zinasikika za Kenya hasa Milele fm na KCB.

Hivi karibuni mtoto wa Mramba ndio kaanzisha Radio huko Moshi inaitwa Radio Banana ndio imeojoa jahazi, inasikika vizuri huku.

Kuna maeneo mengine ya Rombo hata mitandao inaingiliana na ya Kenya.
Duh mtu anakuuliza tu "halafu" unabaki unashangaa.. 😂😂
Kwa kweli siku nitakwenda huko, nadhani hali ya hewa ya huko na moshi vinafanana tu
 
Huku baridi inazidi ya Moshi, ingawa kwasasa jua linawaka kuna afadhali
 
Mimi niko Rombo huku. In short ni kweli huku ulevi umekithiri.

Kila aina ya pombe unayoijua iko huku Rombo.

Huku kuna pombe ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine.

Kuna bia za 500 mpaka 1,000.

Suala la wanaume kutohudumia familia zao binafsi nimeona ni kama utamaduni wa wachagga. Hata wanawake hawaweki akilini suala hilo kwamba atasaidiwa na mwanaume.

Huku wanawake wanapambana mpaka machinga mitaani kutembeza nguo na viatu.

Unaweza kukuta ndani ya nyumba wote hawaelewani.

Mama anauza duka lake, mtoto ana kigrocery cha bia hapo hapo na huku mzee wa familia yeye anuza mbege.

Nimegundua pia mchaga anakuheshimu kama una 'kitu'

Vile vile suala la unaguzi wa wachagga huwa ni hadi wao kwa wao huku.

Mfano leo nimekytana na baba mmoja mahakamani anashtakiana na mwanaye kwasababu ya shamba. Mzee anamwapia mabaya mpaka basi.

Mwisho kabisa, mademu wa Rombk ni wazuri ila nakuasa ninwa kupiga na kusepa kama unapenda kwenu na famikia yenu. Kaoe kwingine
Mura nipe connection na dem mmoja wa rombo. Nipige na kuzama kabisa
 
Mwisho kabisa, mademu wa Rombk ni wazuri ila nakuasa ninwa kupiga na kusepa kama unapenda kwenu na famikia yenu. Kaoe kwingine
Mimi nilidhani wale wa machame na " ngutiriri kabati ya mbeo?" ndiyo wakuotea moto mbali!!!
 
kama itakuwepo na part two tu itakuwa safi sana, sababu nilikosa part one wiki iliyopita. wiki iliyopita kipindi kilirushwa jumatano, bila shaka na wiki hii kipindi kitakuwa kesho jumatano.
Yaa wanakirusha Jumatano.
 
Mnaelewana ila kuna maneno wao wanatumia ambayo ni tofauti na sisi.

Mfano, nilipishana na Mkenya akasema HALAFU au Namna gani yaani nadhani alitaka kunisalimia VIPI ?

Mfanyabiashara wao wanaita Mwanabiashara.

Huku Rombo hata Radio zinasikika za Kenya hasa Milele fm na KCB.

Hivi karibuni mtoto wa Mramba ndio kaanzisha Radio huko Moshi inaitwa Radio Banana ndio imeojoa jahazi, inasikika vizuri huku.

Kuna maeneo mengine ya Rombo hata mitandao inaingiliana na ya Kenya.
Duh!!!,huko ni Kenya sasa.
 
Mjiandae kuchomwa moto mkienda au kuchomwa visu.
Nunua Fire extinguisher kabisa.
Mkaruka vipi kwa wakenya ulipoenda jamaa kiswahili chao namna gani? hamna zile nyumba za mabati tupu kwao huko?
Ah! wapi, wakati wanahitaji kupelekewa moto,sasa watskuchomaje moto km wamepata wanachokitaka?.
 
Mnaelewana ila kuna maneno wao wanatumia ambayo ni tofauti na sisi.

Mfano, nilipishana na Mkenya akasema HALAFU au Namna gani yaani nadhani alitaka kunisalimia VIPI ?

Mfanyabiashara wao wanaita Mwanabiashara.

Huku Rombo hata Radio zinasikika za Kenya hasa Milele fm na KCB.

Hivi karibuni mtoto wa Mramba ndio kaanzisha Radio huko Moshi inaitwa Radio Banana ndio imeojoa jahazi, inasikika vizuri huku.

Kuna maeneo mengine ya Rombo hata mitandao inaingiliana na ya Kenya.
Sasa ukishakua tarakea unategemea nn
Huko n safcom Tu ndo inashika
Zikisumbuana na voda

Hata ukiwa upande wa Kenya
Lain ya Kenya sometimes inasoma
Voda
 
Back
Top Bottom